Kwanini isitafutwe suluhu badala ya kuachana?

Kwanini isitafutwe suluhu badala ya kuachana?

Inategemea kosa gani na lipo kwenye uhusiano wenye malengo gani.

Kama ni kukulana tu sawa.kosa lolote tutapatanisha.

Kama ni kuja kuwa mke na mume,aisee weka mbali hiyo mahusiano na makosa yafuatayo.usaliti,uongo,uvivu,wizi,umbea,gubu,tamaa,dharau,
 
Hapo hakuna mapenz tena tafuta mpango mwingine, ni bora kutofautiana na kukaa kimya kama huna cha kuongea ili hasira zikiisha mfanye mazungumzo. Mtu ambae yupo kwenye mahusiano kisha anamwambia mwenzake hivyo ujuwe hajawekeza penz hapo bali anaye ambiwa ndiye kawekeza hivyo uamuzi sahihi ni kuanza kujitathmini na kupima mahusiano kama yana maana yoyote kwako kwa wakati huo na baadae kisha chukua hatua. Hakuna kitu kizuri kama kujikubali na kujithamini na hivyo kutokuruhusu mtu mwingine akuone huna thamani.
 
Wengi wao kwenye mapenzi, mawazo yako chini sana kwani kila tatizo wao ukimbilia kuachana, Badala kufanya suluhu.

Kwanini?

Shida kubwa ni kwamba watu wengi wanaingia kwenye relationship bila kujali kama wana match na wapenzi wao au la. Mtu ambae hamatch ukikaa nae muda, kinachowaunganisha lile suala tu kuwa mlikubaliana, but everything else wants to see you guys apart. Kama unataka kunielewa vizuri, jaribu kuwa in a relationship with your best male or female friend. Hamtawahi kuwish kuachana. Hata ikitokea, you'll always be friends
 
Kuna ugomvi mwingine au kuna situation inafikia hakuna suluhu nyingine zaidi ya kuachana
 
Hakuna MTU anaependa kuanzisha mahusiano halaf baadae yavunjike lakn dah kuna. Kipind inafika ......
 
Kuna wakati kuachana ni only solution.
 
Kuna ile minuno ya kishkaji tu hata mgegedo unapata

Ila sasa nisaidie jambo moja hua wakati mwengine mnanuna tu just kutest mtu au inakuwaje maana unaweza kuta from no where tu mood imechange mara hili mara lile ni kwanini
 
Ila sasa nisaidie jambo moja hua wakati mwengine mnanuna tu just kutest mtu au inakuwaje maana unaweza kuta from no where tu mood imechange mara hili mara lile ni kwanini
Labda kakumbuka dhambi zako zinafanya mood iondoke
 
Labda kakumbuka dhambi zako zinafanya mood iondoke
Namaanisha kwamba nyinyi wakina wanawake most of ukisikia stories tunazoongea that's whats they say mnataka attention I think coz how comes ghafla unabadilika kuwa umenuna halafu hupewi sababu ukichuna na wewe basi kesho yake unakuta anajisemesha tena kasahu ya jana na ndio most of you women mlivyo,unless kama tunaoverlook hili.u can share the experience hapo inakuaje?
 
Hivi naomba kuuliza Swali hivi tatizo nn? Mpaka kwenye mapenzi wengi wao hawana suluhisho,
 
Yaani kuna muda mtu anasema tuachane wewe ndio upo miguu yote miwili, kuna watu wana makusudi sijui au nini ex wangu kila tukitofautiana alikuwa ananiambia lets break up for good kila mara sasa nikawa namhoji inamaa wewe huoni umuhimu wa huu uhusiano kila mara kunitishia lets break up, lets break up inabore kwakweli finally tulibreak up lakini unakuta mtu tayari ana mtu mwingine na ndivyo ilivyokuwa kwakwe

Exactly what happened to me.inachosha Sana'a ugomvi kidogo unaskia let break up.fine it will go well with time.
 
Back
Top Bottom