Omary Zola
Member
- Mar 10, 2015
- 29
- 3
Wengi wao kwenye mapenzi, mawazo yako chini sana kwani kila tatizo wao ukimbilia kuachana, Badala kufanya suluhu.
Kwanini?
Kwanini?
Tena matatizo madogo madogo yanasoviwa kwa mgegedo tu hayahitaji hata kuyaongea
Yani migogoro yooote inamalizwa ndani ya dakika chache na mnaanza kufurahi tu kama hakukua na kitu vile tehteh teh teh.... hakuna suluhu nzuri kama hiyo aisee
Tena matatizo madogo madogo yanasoviwa kwa mgegedo tu hayahitaji hata kuyaongea
Yani migogoro yooote inamalizwa ndani ya dakika chache na mnaanza kufurahi tu kama hakukua na kitu vile teh
#magicstick
Wengi wao kwenye mapenzi, mawazo yako chini sana kwani kila tatizo wao ukimbilia kuachana, Badala kufanya suluhu.
Kwanini?
Yaani kuna muda mtu anasema tuachane wewe ndio upo miguu yote miwili, kuna watu wana makusudi sijui au nini ex wangu kila tukitofautiana alikuwa ananiambia lets break up for good kila mara sasa nikawa namhoji inamaa wewe huoni umuhimu wa huu uhusiano kila mara kunitishia lets break up, lets break up inabore kwakweli finally tulibreak up lakini unakuta mtu tayari ana mtu mwingine na ndivyo ilivyokuwa kwakweukiona anatanguliza kuachana ujue huyo anahasira au anamtu mwingine so she/he don care kwahiyo yupo tayari kwa lolote kutokea mi akianzisha hizo swaga kila sku unaongelea kuhus kuachana kiukweli naanza kutafuta mchepuko kiukweli mapenz ya kuachwa unanza kung'aa shalubu hata sitaki na siyawezi [mapenz yakuliwa enzi za mababu zetu sio sasa hivi majitu ni maongoo balaa mxiuuuu]
Wengi wao kwenye mapenzi, mawazo yako chini sana kwani kila tatizo wao ukimbilia kuachana, Badala kufanya suluhu.
Kwanini?
Yaani kuna muda mtu anasema tuachane wewe ndio upo miguu yote miwili, kuna watu wana makusudi sijui au nini ex wangu kila tukitofautiana alikuwa ananiambia lets break up for good kila mara sasa nikawa namhoji inamaa wewe huoni umuhimu wa huu uhusiano kila mara kunitishia lets break up, lets break up inabore kwakweli finally tulibreak up lakini unakuta mtu tayari ana mtu mwingine na ndivyo ilivyokuwa kwakwe
Ndo muda sasa wa kufata mgegedomfano kam yuko mbali hiyo mgegedo utaufanyaje??
Mchagua papuchi si....Inategemea na ubora wa papuchi
Mchagua papuchi si....
Hapo ni miaka mitatu mpenzi lakini unajua siku zote penzi halilazimishwi maana utaona rangi zote hivi vitu vinatakiwa kuflow vyenyewe automatically kila mtu aone umuhimu wa mwenzie kila mtu afeel needed na cherished maisha ya takuwa matamu sanauimeeonaa eeh Gemmy jingine unakuta linajitamkia tu kwa kukutishia na huwa yule anaambiwe hivyo huwa akiondoka anaondokaga mazima haludigi nyuma kwa maana mtu kama mnapendana kweli kwanin umtamkie mwenzio kwamba lets break up so ninganganie kwakuwa yake ni tamu saan kuliko nyingine au?? uuwaii mengine yanaboa jmni ndo ukute saasa umesugua naee ndubesa wee miaka ya udaktar alafu anakuja na swaga za kuachana walla ntakuacha uende ila ctakua uende hivi hivi ipo sku kitajulikana tu no matter what maan miaka yote hiyo hukuwah kusema leo ujidai lets break up nyoo.
The person you think is useless to day might be usefully to you tomorrow.
Ndo muda sasa wa kufata mgegedo
sometimes ukiona migogoro isio na kichwa wala miguu ni ishara ya nyege pia
Ndo ilivo, hata mi kuna kipindi tukimisiana ni ugonvi tu tena usio na kichwa wala miguu malumbano yasioishahahahaa,,haka ni kaukwel kbs,,me mwenyew kazi ikiwa inabana bana papa naianzishiaga tifu tuu