Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,194
- 33,576
Hapa sawa sasa😂
Ziweke kwenye post kama unavyowekaga
Hapa sawa sasa😂
WASUKUMA wanajua macho mayatu ni iphone. Wanavyotamba nazo sijui zinaitwa oppoiPhone latests wanatumia wenye hadhi, hayo makundi ya hovyo unayosema wanatumia matoleo ya nyuma, house girls wangapi watamudu bei za iphone 14,15 au 16?
All in all iPhone ni simu nzuri kwa kila angle..
Ukiona house girl anayo Linda limetatuka mkuu sio bureiPhone latests wanatumia wenye hadhi, hayo makundi ya hovyo unayosema wanatumia matoleo ya nyuma, house girls wangapi watamudu bei za iphone 14,15 au 16?
All in all iPhone ni simu nzuri kwa kila angle..
Punguza gubu km wewe hujanunuliwa iPhone sio shida zetu 😂😂😂