Alietunga kitabu cha aya za shetani nayeye alikuwa swahaba wa mtume? Vip barnaba alikuwa ni nani kwa Yesu? naona unajaribu kulinganisha visivyo kuwepo komaa kwenye mada
Nani kaghushi ? unaweza kuthibitisha angalau andiko moja ambalo wewe unahisi limeghushiwa kwadalili zilizo wazi
Nani alikuwa na mamlaka ya kuikataa injili ya barnaba? halafu kama hoja ni hizo mbona tofauti zipo hata kwa kina MATHAYO, Marko na yohana lakini hamkuvifuta kama hoja ni kutofautiana
Hakika ... umesema vyema z...werevu tunahitimisha kuwa vitabu vyote ni vya kutungwa na binadamu,_hivyo hakuna haja ya kuviamini kama vitukufu Mara sijui vitakatifu
....ingawa vinafaa kwa mafundisho ya kijamii
Hahaaa ...bangi bwanaBarnaba aendelee kuimba tu bongo fleva
hahaa ..daahJamani
...mkuu hii inapatikana kwenye kitabu gani ?Labda aliandika uhusiano wa Yesu na Maria makdalena , ila kuna siku Yesu alikuwa anacheza na watoto wenzie akarusha jiwe juu likamwangukia utosini mtoto akafa .
sasa hizo mbingu wao wameziona wapi "?masudi hebu achana na hayo makaratasi fake ya Barnabas fake...[emoji53] [emoji12] baba kasim anasimulia siku hiyo itakavyo kuwa [emoji117] View attachment 889374 sasa kasome ukurasa wa.70 hicho Kitabu Anakwambia Malaika woote watakufa [emoji38] [emoji38] halafu muisilamu wanaamini hicho Kitabu ni sahihi [emoji12]
Ndio,injili imemshindaJamani
Nani alikuwa na mamlaka ya kuikataa injili ya barnaba? halafu kama hoja ni hizo mbona tofauti zipo hata kwa kina MATHAYO, Marko na yohana lakini hamkuvifuta kama hoja ni kutofautiana
acha viroba dogo [emoji12]sasa hizo mbingu wao wameziona wapi "?
Iyo injili imeghushiwa au hajawahi kuisoma?Nani kaghushi ? unaweza kuthibitisha angalau andiko moja ambalo wewe unahisi limeghushiwa kwadalili zilizo wazi
Wewe unawezaje kumuwekea mashaka barnaba wakati ata Yohana anathibitisha kuna mambo mengine akuandika , inawezekana ndio hayo ambayo barnaba aliyaandikamasudi hebu achana na hayo makaratasi fake ya Barnabas fake...[emoji53] [emoji12] baba kasim anasimulia siku hiyo itakavyo kuwa [emoji117] View attachment 889374 sasa kasome ukurasa wa.70 hicho Kitabu Anakwambia Malaika woote watakufa [emoji38] [emoji38] halafu muisilamu wanaamini hicho Kitabu ni sahihi [emoji12]
Tunajadili injili ya barnaba kuacha maandiko ni kawaida Yenu mbona hata Yohana aliacha tuNeno la Mungu [emoji117] View attachment 889387View attachment 889389View attachment 889392View attachment 889426 usizeeke usiku mshaharaha kumepambazuka [emoji106]
Ndio unionyeshe ilipoghushiwa mkuu mbona rahisi tuIyo injili imeghushiwa au hajawahi kuisoma?
Soma post #25 chemittoga kaelezea vizuri siwezi kurudiaNdio unionyeshe ilipoghushiwa mkuu mbona rahisi tu
Chemittoga nimemuuliza swali lake na wewe nimekuuliza lako ebu jibu ulichoulizwaSoma post #25 chemittoga kaelezea vizuri siwezi kurudia
Wewe unawezaje kumuwekea mashaka barnaba wakati ata Yohana anathibitisha kuna mambo mengine akuandika , inawezekana ndio hayo ambayo barnaba aliyaandika
YOHANA 20:30
"; Basi kuna ishara nyingine nyingi alizozifanya Yesu mbele ya wanafunzi wake ZISIZOANDIKWA katika kitabu hiki";
labda wewe unaweza kutuambia ni mambo mangapi Yohana aliyaacha na kwanini aliyaacha? , kisha ndio uje umjadili barnaba kuhusu yale mambo ambayo hayakuandikwa huko mnaposoma
Viwango viwango KUZINGATIWA alicho andika Barnabas fake ni sawa na baba yake fatuma [emoji53]Tunajadili injili ya barnaba kuacha maandiko ni kawaida Yenu mbona hata Yohana aliacha tu
YOHANA 20:30
"Basi kuna ishara nyingine nyingi alizozifanya Yesu mbele ya wanafunzi wake ZISIZOANDIKWA katika kitabu hiki";
hoja unazomtolea barnaba ni zakitoto kabisa kama Yohana aliacha maandiko kuna ubaya gani barnaba kuandika vilivyoachwa ?