wambagusta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 2,840
- 2,332
Alikuwa aniamini mfano nikamwambia njoo geto hataki lakini sijaenda kwao kesi na lawama kibaoikawaje mkaachana
jibu langu lini?Huwapendi ndio maana huna mzuka nao! we hata ipite mwezi hujasikia kutoka kwao unaona afadhali
dhambi na laana kubwa hiiHuwapendi fanya kurudisha majeshi kwa mpenzio
Ipi tenadhambi na laana kubwa hii
Toka tumwagane na kipenzi changu .napata wasichana wengine lakini nashangaa nakuwa sina mzuka nao !sometimes siku mbili zina pita siwatafuti wakishoboka nawa ambia simu mbovu. Lakini kwa kipenzi changu ilikuwa siku haipiti bila kumtafuta yeye au mie anitafute na kumbuka ilikuwa raha sana tukiongea kwenye simu tukionana ndio kabisa raha