KikulachoChako JF-Expert Member Joined Jul 21, 2013 Posts 20,156 Reaction score 40,953 Jan 2, 2015 #21 Khantwe said: Usamehewe kwa maana hujui usemalo swahiba Click to expand... Swahiba samahani kama nimekukwaza kwa namna moja au nyingine kwa coment yangu....it was only a joke...I did not mean it........
Khantwe said: Usamehewe kwa maana hujui usemalo swahiba Click to expand... Swahiba samahani kama nimekukwaza kwa namna moja au nyingine kwa coment yangu....it was only a joke...I did not mean it........
Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 62,101 Reaction score 127,854 Jan 2, 2015 #22 KikulachoChako said: Swahiba samahani kama nimekukwaza kwa namna moja au nyingine kwa coment yangu....it was only a joke...I did not mean it........ Click to expand... Sawa swahiba..uliyemdhihaki ndo mwenye kusamehe na nna imani keshakusamehe. Usipende kufanyia mizaha imani za wenzio hata kama wewe huamini katika hayo
KikulachoChako said: Swahiba samahani kama nimekukwaza kwa namna moja au nyingine kwa coment yangu....it was only a joke...I did not mean it........ Click to expand... Sawa swahiba..uliyemdhihaki ndo mwenye kusamehe na nna imani keshakusamehe. Usipende kufanyia mizaha imani za wenzio hata kama wewe huamini katika hayo