Wazungu mitaala Yao yote Inafundisha elimu kuhusu critical thinking, problem solving na assertiveness. Elimu hii inawapatia wazungu wote uwezo wa kujihoji na kujiuliza wenyewe maswali kama why me (kwanini Mimi, kwanini sisi na kwanini wao?), Elimu hii inawawezesha pia kumwambia mtu NO au YES bila kusitasita, alimu hii pia anamfanya mzungu kusema kile anachota kusema kwako bila kukuvunjia heshima yako.
Kwanini IMF watupe sisi mkopo mkubwa sisi katikati ya mgogoro wa myumbo wa uchumi wa dunia? Katikati ya uhaba wa chakula, mafuta na gesi? Katikati ya vita ya Ukraine na Urusi?
Hebu tufikirie wote kama taifa kuhusu hili, kwanini sisi Sasa?