Kwanini Ikitokea mwalimu anadai haki walimu wenzake huchukia

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
14,304
29,840
Hili swala sio geni, Kuna walimu zaidi ya watatu wanasema hili. Kwamba ukionekana wewe unapambania haki za walimu wenzako iwe shuleni kwenu au popote pale basi walimu huwa wanamchukuia mwalimu huyo nakumuona wa tofauti sana tena anaweza akatengwa

Mwalimu anadai haki zake kwani kosa lipo Wapi? Lakini utakuta walimu wenzake wanasema huna heshima Kwa boss wako mara kuwa mzalendo yani anakuwa kama mwasi.
 
Shida walimu wengi vyeti feki (usibishe marehemu hakufanikiwa kumaliza hili tatizo, bado wapi na uhakiki inaendelea hadi Leo) na ufaulu wa kuunga unga.

Hii inawafanya wajizime data wawe wanafiki, wala sio waoga....ni wanafiki Kwa maslahi Yao.....huwezi kukuta mwenye Bachelor, hasa ya UD ana tabia za kiwaki.
 
Back
Top Bottom