Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,568
Hahahahaha Hallo honey baba mwenye nyumba teh teh :A S 109:
Mnapokuwa kwenye furaha ya mapenzi huitana majina yote mazuri na yenye kuvutia lakini mkikosana kidogo tuu yale majina huyeyuka na kuanza kuitana wewe nanihii au we we fulani kwanini?
Itaneni yaleyale hata kama mmeudhiana kwakuwa hasira ikiisha mtaendelea na mapenzi yenu kama kawa