Kwanini humpendi

Kumchukia mtu ni dhambi, ila inakuwa dhambi kubwa zaidi unapomchukia usiemjua
 
anainupenda aneinichukia wala sijali
na mimi wala simpendi mtu wala simchukii mtu sina habaree sijali lolote
 
Yani simpend evelyn salt maana ni Kaaba nilikuta anajiliza pm kwa my babe khaaa
 
Hivi humu tunapendaje?Mi yote sawa tu...kwanza siwaoni...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…