Mimi nawapenda wote sababu ya kuwapenda wote wananifunza,kuniburudisha na kunielimisha ila wengine wanahitaj msaada kwa majibu yao ila sina jinsi nawachukulia kama ni changamoto ya jukwaa
Kuna kakinuka K kamoja hivi humu ka-Kiislamu kanasemaga eti hakanipendi.
Huwa nacheka sana maana hata kunijua hakanijui lakini hakanipendiππππ.
Ila wote wanaosemaga hawanipendi ni ma fans wangu tu na ndo maana huwa hawapitwi kusoma posts zangu na kuanza kuitana 'flani...njoo uone alichoandika Ngabu'.