we unaongea tu sidhani kama ni kweli unless wote ulionao huwapendi kiviiile!Mtu anataka akipiga upokee kwa wakati, akute inatumika ni majanga utafikiri simu ipo kwa ajili yake tu, ukishaniletea hizo nakata nasimu nazima
Eti hata mimi huwa nashangaa mtu akipiga simu akikuta inatumika ananuna huyo utafikiri kwenye contact list yuko mwenyewe...
...apige sasa isipokelewe..inakua kesi usipokuwa makini inakua ndo mwisho wa mapenzi...
....mapenzi jamani khaaaaa
Mimi tu ndio unanisulubu na utitiri wa maswali...!!
Kwanini hukupokea simu yangu?
Ulikuwa na nanani?
Mlikuwa mnafanya nini?
Kumbe ndio tabia yako eeh!! Nk nk nk
inakera sana, basi tu watu hawajuiStory of my life.
Suppose umeshaleteana noma na Bosi hujameet deadline mtu anakupigia simu kukuuliza umekula nini Dear?
sikupingi kwasababu kila mtu ananamna yake ya kujitulizaMe nikiwa na stress cm ndo inanipa kampani sn
kunawatu wakiwa na stress zao hawataki hata kuiona simu, ukija kumletea hzo habari ndio anatibuka kabisa na pengne mahusiano yakagonga ukuta sku hyohyo.
Are you talking about me?
ucku hata mimi nitamaindi kama ni mke wangu lakini kama ni mpenzi wangu naanza kuwaza marambili maana najua wazai wake hawawezi kumpigia simu ucku labda kuwe na dharurammmh hata wanaume akikupigia cm hasa usiku akikuta busy, utajuta kumfahamu.
Mapenzi kitu cha ajabu na muda mwingine cha kijinga sana, kutopokea simu ya mpenzi wako laweza kuwa kosa kubwa linaloweza kuleta ugomvi mkubwa
Lakini mbona shosti wako ulipompigia hskupokea? Lakini hukumind, na yule ndugu yako je, au yule mshkaji wako wa mishemishe wote hao hukuwamind...!
Mimi tu ndio unanisulubu na utitiri wa maswali...!!
Kwanini hukupokea simu yangu?
Ulikuwa na nanani?
Mlikuwa mnafanya nini?
Kumbe ndio tabia yako eeh!! Nk nk nk
Jamani kuna Wakati niko Busy au niko msalani au sikusikia ikiita , si lazima nifanye jambo baya kama sijapokea cm yako Please
hahaha... kumbe mpo wengiAre you talking about me?