So maoni yako siku hiz viongoz wetu hotuba zao hazina mvuto na zina ukakasi ila mipango yao inatekelezeka kuliko hotuba zao??Hotuba za viongozi zinaonekana kupoteza mvuto kutokana na idadi ya illiterates kupungua ukilinganisha na miaka ya nyuma. Hao unaowasifia walikuwa na hotuba nzuri ilikuwa ni katika kipindi chao, wakirudi katika uongozi kipindi hiki nao watakosolewa tu. Hata hivyo matatizo ya watanzania kamwe hayawezi tatuliwa na hotuba zenye mvuto. Hotuba zaweza kuwa na mipango na mikakati mingi tu mizuri lakini utekelezaji ukawa zero.
Asante ndugu. Lakn sidhan kama atention ya raia ya kutaka kusikia mkuu wao kaongea nn ili waitekeleze imekua kubwa siku hz kuliko zaman yaan sidhan. Nitaamini pale kauli ya raisi ikitekelezwa ya mwalimu kukatwa mshahara mwanafunzi akipasua dawati.Ufahamu wako mdogo wa kuchanganua mambo ndiyo unakufanya uone hotuba za viongozi leo hazina mvuto. Kama siyo hilo basi pengine unachotarajia kizungumzwe na viongozi hao hakijasemwa na muda wake bado. Nikutie moyo tu hakuna kipindi ambacho hotuba za viongozi zina mvuto kama sasa. Fuatilia kila neno analotamka JPM hakika utabarikiwa.
Kweli kabisa.Mlisha wai msikia Nyerere kwenye hotuba za anaomba kuombewa,. Hotuba za nyerere zote zilishiba ukweli mtupu,
Mi sijasema hivyo, hayo ni ya kwako. Istoshe mie si kama wale wasifia watawalaSo maoni yako siku hiz viongoz wetu hotuba zao hazina mvuto na zina ukakasi ila mipango yao inatekelezeka kuliko hotuba zao??
hahahahahaha bora waongee wenyewe wasilete makamera wamalizane huko kimya kimya maana kuna muda ukisikiza unakasirika?....viongozi wenyewe hawana mvuto, wanachoongea kitakuwaje na mvuto....
Tulikuwa na taifa ambalo lilikosa usimamizi ktk idara na sekta zote za umma ndiyo maana mambo yalikwenda shagalabagala. Kauli ya Rais kuwataka walimu wakatwe mishahara pindi mwanafunzi akivunja dawati lengo lake ni kuwafanya walimu wayasimamie madawati husika kwani wakati mwingine wanafunzi hufanya michezo juu ya hayo madawati na hivyo kupelekea kuharibika mapema.Asante ndugu. Lakn sidhan kama atention ya raia ya kutaka kusikia mkuu wao kaongea nn ili waitekeleze imekua kubwa siku hz kuliko zaman yaan sidhan. Nitaamini pale kauli ya raisi ikitekelezwa ya mwalimu kukatwa mshahara mwanafunzi akipasua dawati.
Ukisikia hilo niite nimi nitaitika