Kwanini hotuba za Rais Samia Suluhu zinakuwa fupi fupi?

Hotuba za Rais wetu mama SSH ukilinganisha na hotuba za watangulizi wake ni fupi fupi sana hadi zinaboa. Vipi ndo itifaki zimebadilika ama Kuna tatizo mahali? Naomba kuwasilisha.
Mshazoea hotuba ndefu za yule msukuma zenye kuambatana na matusi na vitisho kwa kila mtu
 
Huyu Mama wanampangia shughuri nyingi Sana kila kukicha.!
Ningekuwa kwenye nafasi yake hakika ningegoma,Ebu tujiulize anapumzika SAA ngapi??
Kwanini wanampangia ratiba ngumu hivi??
Ni Bora ziendelee kuwa fupi fupi labda atapata muda wa kupumzika.Mheshimiwa Rais Mama SSH wanakuchosha na hizo ratiba
 
Back
Top Bottom