geniveros mkuu asante sana nimekuelewa sanaSema tu hunaigundua jf ina watu wazima wasiojitambua..
Inatakiwa uwe makin sana.
Siku ukiona umepatana na mtu humu na akaanza kukupa stor za wengne aliokutana nao humu humu huyo mkimbie maana ipo siku hata ww atakusimulia kwingne...
[emoji2] [emoji2] yalishakukuta nn
Hapana nimemuita geni aje asome ulichoandikaUmekosea kuandika au ulimaanisha.[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Sawa mkuuHapana nimemuita geni aje asome ulichoandika
Yaani wewe. Ha ha umenifanya nikapitie piem
Bora hii avatar imerudiUmeona convo letu enhe...mtt una mapozi ww
Bora hii avatar imerudi
[emoji15] [emoji15] [emoji15] msutoChungu kama mukojo ya punda. Ameze hivyo hivyo.
Cc Daby
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Aisee ebu mtake radhi geni huyo ni mdada tena wa haja mkuu
[emoji7] [emoji7] hii na ile ya mkono uliovaa saa[emoji41][emoji41]
Acha kufukua makabuli mpendwa wa binamu jamaan[emoji15] [emoji15] [emoji15] msuto
husna muba ww ni mgeni huku jf? Nakuona live[emoji15] [emoji15] [emoji15] msuto
[emoji7] [emoji7] hii na ile ya mkono uliovaa saa
[emoji15] [emoji15] tutaogopa hata kulike post zako weka ututisheNgoja nimuweke mheshimiwa rais sasa
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji106]Acha kufukua makabuli mpendwa wa binamu jamaan
Mi mwenyeji ila sioni sababu ya kujifichaficha hakuna kibaya ninachofanya humuhusna muba ww ni mgeni huku jf? Nakuona live
Sawa mkuuMi mwenyeji ila sioni sababu ya kujifichaficha hakuna kibaya ninachofanya humu