Kwanini hivi jamani...

nnakuja kukuumbua tu hamna namnaa[emoji12]

sent from motorola bapa and nokia jeneza

yaani ulete uzi wewe wewe na uje uniumbue wewe wewe sasa huoni umetudanganya kwamba unajuwa kutunza siri ? najiskia tu mwenye nguvu kudeal na mtu mwenye anatunza siri hahahahahahahahah kweli ntakuja acha nikulie timing
 
[emoji121]
MKUU,

ACHA UJINGA,
PAMBANA NA HALI YAKO!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mkuu naona umecheka sana ..lakn huo ndio ukweli zaman ilikuwa poa sana..watu wanajadili mambo ya maana na kusaidiana ..kutongoxana kulikuwepo ila heshima ilitawala na hakuna kuvujjisha siri kilofa kama siku hizi..siku hizi mada nyingi zimejaa utoto,kutafuta sifa..uongo nk...
kwa kifupi tumeacha njia ipasayo wengi wanapuyanga tu na wamekaa stress...wachache bado wanajielewa..
tubadilike na asante mleta thread hii maana itawasaidia wengi na kwa wake waloosutana humu na waliofumaniana humu wabadilike...
 
Umenena vema kabisa.
 
Kutokana na mwandiko wa mleta hii mada naimani atakua elton john au anti mudy[emoji1321]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mie kwa kweli siku yangu ikifikaaa[emoji57] [emoji86] [emoji86] [emoji85] [emoji85] [emoji85] sijui yaani ntavaa pensi ganii

na watu wanasubiriaa

sent from motorola bapa and nokia jeneza
Report button ikiwa wapi? Nitareport mpaka
 
Chungu kama mukojo ya punda. Ameze hivyo hivyo.
Cc Daby
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…