Kwanini hivi jamani...

duuhhh...kazi kweli kweli

wadada tunatake risky haswaa...
 
Uwiii picha za uchi tena, hivi mtu unaanzaje kutuma picha ya uchi jamani hata kama ni ukahaba sio wa dunia hii
 
Bola umesafisha apo juu kua watu wema wapo.
Wabaya si rahisi kuwakosa ushirikiano uondelee.
Kuna watu wanapata michongo ya maisha humu wengine kuna vitu viliwasumbua sanaaa kuja humu ikawa rahisi kwao kupita watu hao hao
 
Aseeeee!!! Kumbe goma
Bado lnaendelea

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Aisee hiyo baada ya kufahamiana au ndo kabla yaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…