Kwanini hivi jamani...

Hii nayo ya lini bratan?
 
Mpwa mbon we sikukutagi kwenye hizi makitu!
kuna watu haki kabisa siwazi kabisa kuwakuta humu!
na wameendelea kuniprove right ninachowawazia!
sasa najiuliza haya yanatoakeaga wapi?
Mpwa, naweza kufukuliwa kaburi hapa hali ikawa tete
. Binafsi naona ni utoto wa hali ya juu sana, hivi tukifahamiana tukakutana kupiga stories, tukapata juice kidogo kuna ubaya gani?

Utoto ni pale mtu anapoanza kukutangaza huko pm, whatsapp na kuwaonyesha wenzake picha zako, that's utoto of the highest level.
 
hahhahahahauzuri hata hao wenye makaburi yako nao hawana hizo biashara!
sasa sijui huwa kinakuwaga ni nini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…