Kabisa aisee yan ww ukijisahauHahaa ni shida mkuu haya mambo ni kuwa makini tu kifupi ukiwa humu usijisahau
mzee baba una uzowefu wa pm kuliko mzee AsprinMkuu kati ya sehemu za kuwa makini ni JF, unaweza kutongozwa hata na mkeo.
Na unapotaka kumfuata mtu pm Kuepusha yote hayo lazima umsome kuanzia siku anapost JF hadi leo...na pm usifike tu ukaanza kujiachia achia kama upo sebuleni kwako
umeona eeehhh...kidigitali zaidiAsante kwa ujumbe. Tatizo siku hizi tumeendelea sana, mambo ya kuchunguzana na kusomana mwezi miezi waliweza wazee wetu, siku hizi ukikonyeza tu wameshakubali, baada ya siku chache kelele kibao, huyu mtu gani, sijui hafai kabisa........
Teh dawa ni kutongozana huku huku jukwaani ili wambea na vizabizabina wakose umbea au sio...Hahaa nimecheka eti wanatupa tabu ya kununua bando. Ila mimi nadhani ni utoto tu wakikua wataacha
ni zaidi ya kijiji watu wanakutana wanafurahi na kusaidiana piajf ni kijiji fllani kumbe.sikujua atii.
hapo kwenye kusambaza umbea nimesikia baridi ghafla .kama nipo vile.maana nikiwa na umbea hakuna nyumba siingii pm huko
Na kwanini mmwage hapa jukwaani...kwa nini msitukanane huko mlikokutana...!!!mkishaumbuana nini tena kinafata mnajidhalilisha tu kwa kweli
Nmeshindwa kuvumilia wacha
Tu nicheke aiseeee!!!
Nlishasema jf babu kubwa
Kama tu magruo ya wasap
Ila kuna member wanaenda
Kukimbia id zao jf iko moto
Co kawaida
Mkishindwa kuelewana
Lazma mboga na ugali
Zimwangwe pahali moja
[Color= yellow]Triple A[/color]
Kwanza mvujisha taarifa na mvujishwaaji wa hizo taarifa wanatakiwa wajitathimini wote. Wengi wao huwa ni matahira wote.
Mtu mwenye busara atatongoza mwenye busara. Asiye na busara mara nyingi atatongoza matahira wenzake.
Wewe mwanamke/mwanamme unashindwa kumsoma mtu hata kwenye chatting. Basi za jukwaani umeshindwa je za pm. Au ukishafika pm haraka haraka mnapeana location na namba mambo yamekwisha.
kuna mambo ya kawaida sana kwenye jamii kama kulalana but humu ukimlala mwanamke akikupiga kibuti unamtangaza kwa mabaya
mbona wengine humu tumepigwa vibuti tumevumilia tu
mimi wananiletea wenyewe umbea pm then nausambaza mimi ni msambazaji tuni zaidi ya kijiji watu wanakutana wanafurahi na kusaidiana pia
kumbe ndo weweee...tatizo sio umbea shida siku ukimchokoza mtu anakuja kumwaga umbea wote humu
sent from motorola bapa and nokia jeneza
umeona eeehhh...kidigitali zaidi
sent from motorola bapa and nokia jeneza
ungenitangaza ningefanya mambo upate bushamimi tu ndio ulinipiga kibuti kisha sijakutangaza