Kwanini hivi jamani...

Asante kwa ujumbe. Tatizo siku hizi tumeendelea sana, mambo ya kuchunguzana na kusomana mwezi miezi waliweza wazee wetu, siku hizi ukikonyeza tu wameshakubali, baada ya siku chache kelele kibao, huyu mtu gani, sijui hafai kabisa........
 
Mkuu kati ya sehemu za kuwa makini ni JF, unaweza kutongozwa hata na mkeo.

Na unapotaka kumfuata mtu pm Kuepusha yote hayo lazima umsome kuanzia siku anapost JF hadi leo...na pm usifike tu ukaanza kujiachia achia kama upo sebuleni kwako
 
Well said my dear,but when l was coming into this world l couldn't imagine it without such people!Humu duniani tuwe na akili katika maingiliano yetu na binadamu wengine,tahadhari na binadamu wenzetu ni muhimu.Kutahadhari kunakuja na kuwa macho,tuwe tunaingiliana na wenzetu na huku tunajiangalia nafsi zetu,na kujiangalia maana yake ni kujilinda.
 
Hahaa hapo shida ipo kweli..you should have pride at least lol
 
Aigooo..chatting zisikudanganye ndugu, Kuna watu wengine hawafanani kabisa na chatting zao. Unaweza ona mtu anacomment kichungaji ukasema mtu si ndio huyu? Hatari sana sheikh
Aiseee! Na n kweli chartng iwekwe
Mbali na haya mambo maana
Unaemdania sie

Unakuta yule unaemuona
Ndyo anabusaka kumbe
Ndyi moto wa kifuuu zaid
Ya bashite

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Basi gen mimi nitakuwa na uwezo mkubwa wa kun'gamua tabia za mtu...

Kilichokusukuma uandike uzi nilikiona pia na mimi. Hivi watu wa namna ile inahitaji hadubini kuwachungulia kweli?
wengine vipofu kabisa yaani...wanashindwa kujua nyeupe na nyekundu

sent from motorola bapa and nokia jeneza
 
Mkuu kati ya sehemu za kuwa makini ni JF, unaweza kutongozwa hata na mkeo.

Na unapotaka kumfuata mtu pm Kuepusha yote hayo lazima umsome kuanzia siku anapost JF hadi leo...na pm usifike tu ukaanza kujiachia achia kama upo sebuleni kwako

Swadakta, natumaini mwenye ufahamu atakuwa amekuelewa. kila kitu kinaenda kwa utaratibu, hutakiwi kukurupuka kwa tamaa za ajabu ajabu.
 
ila nyie undugu wenu wa mbali halafu ww ndio unauforce
Umeona kumuongezea mdogo wangu mke wa pili haitoshi leo unataka kututenganisha kiundugu....

Inaonekana hakusoma mwandiko wako siku mnatongozana pm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…