PANTHERA LEO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2019
- 2,307
- 3,447
- Thread starter
-
- #21
Naomba icho kitu kitokee, maana kwakweli ninamuonea huruma sanaHata mini sijushauri umpende, ila usimuonyeshe kama humpendi... Siku na yy hisia zake zikihamia kwa mwengine ndio utajua kama unampenda au haumpendi
Sms kwa sms,call kwa call by I.MNaomba Mungu nisije kuwa na moyo kama wa huyo Dada. Hadi nimemuonea huruma.
Mimi haijalishi nakupenda sana, au laah.(kwanza siku hizi huwa sipendi zaidi ya kupretend).
Nikikutumia msg nasubiri ujibu ndiyo nitume nyingine, usipojibu ndiyo kwisha habari mpaka siku utakapoamua kujibu.
Nimejitaid kumpenda lakini najiona najidanganya tu... Toka mwaka najitaid kumwacha wala haachiki... Analia adi namwonea hurumaKama humpendi angalau basi usimuumize,tafuta peaceful way ya kukueleza
Otherwise jifunze kumpenda
Kuna sehemu nyingine unaiwaza dats yNimejitaid kumpenda lakini najiona najidanganya tu... Toka mwaka najitaid kumwacha wala haachiki... Analia adi namwonea huruma
Dah, hongera yako ata mimi nina tabia hiyo hiyo.Naomba Mungu nisije kuwa na moyo kama wa huyo Dada. Hadi nimemuonea huruma.
Mimi haijalishi nakupenda sana, au laah.(kwanza siku hizi huwa sipendi zaidi ya kupretend).
Nikikutumia msg nasubiri ujibu ndiyo nitume nyingine, usipojibu ndiyo kwisha habari mpaka siku utakapoamua kujibu.
Yeah, habari za kuanza kujitumisha msg huo muda Bora nilale zangu.Sms kwa sms,call kwa call by I.M
Wala ata hakuna mtu nampenda kiivo, kiasi kwamba nimuone huyu hana thamani... Ni basi tuKuna sehemu nyingine unaiwaza dats y
That's what we do!Naomba Mungu nisije kuwa na moyo kama wa huyo Dada. Hadi nimemuonea huruma.
Mimi haijalishi nakupenda sana, au laah.(kwanza siku hizi huwa sipendi zaidi ya kupretend).
Nikikutumia msg nasubiri ujibu ndiyo nitume nyingine, usipojibu ndiyo kwisha habari mpaka siku utakapoamua kujibu.
Inabidi lakini umwambie ukweli lakini. Kama amekufanyia mambo makubwa inaonyesha mwanzo ulikuwa unaigiza kumpenda shida zimeisha unampotezea.Dah, hongera yako ata mimi nina tabia hiyo hiyo.
huyu wakwangu nisipomjibu mbili au tatu ana piga, akiona sipokei anatafuta marafk zangu, ikishindikana ananitafuta kwa miguu
Kama humpendi angalau basi usimuumize,tafuta peaceful way ya kukueleza
Otherwise jifunze kumpenda
Natamani wote tuwe na hii mioyo.That's what we do!
Habari za kubembeleza mwanaume ifike muda iwe history
Ananipenda sana, ila sina hisia nae hata kidogo...
Hana kasoro yoyote, ana sifa zote kuitwa mke, lakini mimi simpendi...
Hajawai nikosea, kila siku mimi ndio namkosea lakini haniachi..
Ananipenda sana, muda mwingi anazungumza kuhusu ndoa, anawapenda na wazazi wangu pia
Sijui kwanini mimi simpendi, yani namtamani tu pale napokuwa N.y,ege..
Kwa mambo makubwa alionifanyia naogopa kumwambia simpendi.. Nahis anaweza ata kuniua
DAH,
View attachment 1135849View attachment 1135850View attachment 1135851
Mimi nilivyoanza kumtongoza ilikuwa utani utani tu, sikudhani kama ataniganda hivyo, kiufupi nilimtani tu,Inabidi lakini umwambie ukweli lakini. Kama amekufanyia mambo makubwa inaonyesha mwanzo ulikuwa unaigiza kumpenda shida zimeisha unampotezea.
Halafu wewe wewe utakuta unashangaa mwanamke anasomeshwa halafu anamkataa mwanaume aliyemsomesha.
Aisee mimi sijui nikoje yaani mwanamke akijidai ananipenda sana ndo ANAANZA KUNITIBUA, huyo lazima tutaachana na kosa lake ni kunipenda.Naomba Mungu nisije kuwa na moyo kama wa huyo Dada. Hadi nimemuonea huruma.
Mimi haijalishi nakupenda sana, au laah.(kwanza siku hizi huwa sipendi zaidi ya kupretend).
Nikikutumia msg nasubiri ujibu ndiyo nitume nyingine, usipojibu ndiyo kwisha habari mpaka siku utakapoamua kujibu.
Ananipenda sana, ila sina hisia nae hata kidogo...
Hana kasoro yoyote, ana sifa zote kuitwa mke, lakini mimi simpendi...
Hajawai nikosea, kila siku mimi ndio namkosea lakini haniachi..
Ananipenda sana, muda mwingi anazungumza kuhusu ndoa, anawapenda na wazazi wangu pia
Sijui kwanini mimi simpendi, yani namtamani tu pale napokuwa N.y,ege..
Kwa mambo makubwa alionifanyia naogopa kumwambia simpendi.. Nahis anaweza ata kuniua
DAH,
View attachment 1135849View attachment 1135850View attachment 1135851
Yupo chuo mkuu.. second yearDaaahhh haya matext yanaumiza sanaaaa
Huyu atakua amemaliza form six au yuupo chuo