hahahaha
Wao wanataka wakifika 21 miaka ibakie hapo, isiongezeke tena
Hahaha
Mwanamke akiambiwa yy ni mkubwa sana huwa wanachukia, cjui kwanini!
Kila mmoja anataka aonekane mdogo
hahaha baaadhi tu bwana si unajuwa wanapenda wawe vibinti deile
Shkamoo miss neddy una hamsini hapo?mi napenda ukubwa uwe unaniamkia
Mfano mimi nina 35, miss neddy una miaka mingapi?
Shkamoo miss neddy una hamsini hapo?
Hahahahahaa watoto wa Dar akikupa shakamoo ujue kuna jambo, lazima akupige mzinga
juzi nilitimiza 38 kumbe ni mdogo wangu kabisa kihalali lol