UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,366
- 7,713
Hivi kwanini hawa wenzetu wenye asili za kiarabu au kihindi huwa hali zao za kimaisha ni tofauti na za kwetu? Maana wao ndio wengi tunaona wakiwa matajiri na hata wale wenye maisha ya kawaida bado wengi hujiweza kuliko hali za famili zetu sie nyingi zilivyo.