Greatest Of All Time
Platinum Member
- Jan 1, 2017
- 26,550
- 62,019
Je ni miongoni mwa wale wasiojulikana
Kabisa mkuuu...!! yani inabdi wafiche sura tuu...Polisi tunaishi nao mitaani kwenye nyumba za kupanga by Godbless Lema
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo hivyo boss ,,Unawezakuta ni zitto ƙabwe huƴo, unaƙumɓuka tukio la ƙigaidi pale ƙenya! kuna mɓunge wa upinzani alikuwepo ƙwenƴe mission
Hii ɗunia ni zaiɗi ya tuijuavƴo.
Njombe ishu ya watotoNimependa tu jinsi walivyoshikilia hiyo mijegeje.....ila kuna baadhi ya watuhumiwa lazima ulinzi uwe tofauti na strategy tofauti pale wanapopelekwa mahakamani na kurudishwa mahabusu.
Hii ilikuwa ni kwenye kesi gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Haufanani na ulichokiandika.Please, behave yourself!Unawezakuta ni zitto ƙabwe huƴo, unaƙumɓuka tukio la ƙigaidi pale ƙenya! kuna mɓunge wa upinzani alikuwepo ƙwenƴe mission
Hii ɗunia ni zaiɗi ya tuijuavƴo.
utamjulia wapi wewe upolisi ni fani ya kitaalumaMbwembwe tu hizo. Jitu ka hilo ukikutana nalo kitaa kwa kuwa ni geni si unalitambua tu kuwa ni lile uliliona pale geti la mahakama tu??
Kwa jinsi walivyobeba na kuzikamata hizo SMG hao sio askari wa kawaida.