erick13
Senior Member
- Aug 20, 2009
- 163
- 59
Dr Slaa anachopigania ni kutaka chadema iendelea na UFISADI kama agenda muhimu.. kwasababu umaarufu wa dr pamoja na chadema umejengwa katika misingi ya kukemea ufisadi na sio kujenga hoja muhimu na kutoa sera.
Ndio maana Dr slaa siasa yake siku zote ni kusema watu kwa chuki, hasira na ubaya tuuu
Na hata yeye mwenyewe alisema kwamba sasa chadema haitakuwa na agenda ya ufisadi kwa sababu LOWASSA kajiunga nao nayeye huwa hapendi kuzungumzia mambo ya ufisadi hadhalani au kumshutumu mtu tena pasipo na ushahidi wowote..
Mbowe yeye hakupenda siasa ya aina hii na ndio maana wakati wa kumtambulisha Lowassa katika kamati kuu alisema hawawezi kuendelea na siasa za chuki na kutisamee pamoja na visasi..
Dr wewe kubali kalata zako hukuchanga vizuri sasa yamekushinda kabisa nenda mwachie LOWASSA anaweza jukumu la kusonga mbele na chadema kuwa mpya ..
Nenda kiroho safi kazi yako imekwisha pamoja na umarufu wako pia.
Dr ni kweli HAUFITI KATIKA SIASA CHADEMA.