Kwanini hatuna tabia ya kueleza jambo linalotusibu moja kwa moja, haswa wakati wa salamu?

Huwa namkanya sana dogo wangu kuhusu hili. Siku moja akanipigia simu, kumsalimia anasema salama kabisa hamna shida. Baada ya dk 1 ananiambia mbuzi 2 zimekufa.
Hili ni jambo linaloondoa maana ya salamu (kujuliana hali) maana hakuna uhalisia utakachosema
 
Sio lazima kila mtu ajue mambo yako , kusema sipo poa kutafungulia mlolongo mrefu wa kujieleza sana na kudadisiwa zaidi.

Hivyo ni bora tu kusema safi, nzuri, poa , inapunguza kujieleza sana .
 
changamoto ni pale ambapo hata kwa watu wa karibu au tunaowaamini bado tunajificha.
 
Huwa namkanya sana dogo wangu kuhusu hili. Siku moja akanipigia simu, kumsalimia anasema salama kabisa hamna shida. Baada ya dk 1 ananiambia mbuzi 2 zimekufa.
Hili ni jambo linaloondoa maana ya salamu (kujuliana hali) maana hakuna uhalisia utakachosema
Dah ila we Okw boban sunzu, una mengi sana 🤣.
 
Sio lazima kila mtu ajue mambo yako , kusema sipo poa kutafungulia mlolongo mrefu wa kujieleza sana na kudadisiwa zaidi.

Hivyo ni bora tu kusema safi, nzuri, poa , inapunguza kujieleza sana .
Lakini mkuu si wakaguru mfano tukikutana huwa tunaanza stori afu salamu.kwenye salamu hapo utakuta unazungumza shida yako lakini kama nyie ndugu tena hapo salamu itaweza kuchukua hata dk 5-10...?
 
Sijajua kama unauliza swali au umenielekeza mkuu🤔
 
Back
Top Bottom