Kwanini Hapi anakaimu nafasi ya Makonda?

Atakuja jaani (UKAWA ) na hakuna shaka mtamsifia kwa haya leo mnayoyaona mbaya.
 
Swali hapa ni sababu ya Mkuu wa mkoa kukaimiwa, hatakama angekuwa amekaimiwa na mtu yeyote, nini hasa sababu ya yeye kukaimiwa? je anaumwa?, ama yuko likizo? just curious.
amewakilishwa na hapi
 
... Dengelua not Dengerua... Hii ni Pombe ya heshima aisee...
 

Likizo
 
Kumbe hata humu jf kuna Watu wa hovyo sana. Yaani mtu yupo Serious kabisa Kuwa RC anaposafiri anamkaimisha senior?? Tunapoondoka maofsini tunakaamisha mtu atakayesimamia vizuri na ambaye ninamwamini na siyo uzoefu
 
Robot ikishasetiwa usitegemee iende kinyume, huyo siyo binadamu, wewe unashangaa kwa sababu hujui kwamba mtu mmoja anaendesha zaidi ya ID 30 jukwaa la siasa.
kaazi kweli kweli
 


Mmmmmh kama unamuonea vile [emoji134]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…