Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,326
- 3,446
Download application inaitwa tunein.Humo utakuta fm nyingi tu za bongo.Sattelaite FM radios.
radio zipo mkuu ambacho hakipo ni fm radio tu. Iphone hazijatengenezwa kwa mtanzania thats why unaona cha ajabu hebu imagine situation hii.
Redio zote za tanzania unaweza zistream online, simu zetu zinauzwa na mitandao kama tigo na voda na wakikuuzia wanakupa bundle ya kutosha tu yenye speed ya ukweli. Then unaweza zistream redio bila matatizo sababu network ipo fast.
Kama situation ya hapo juu ingekuepo hamna haja ya fm redio. Ngoja nikupe advantage za internet redio over fm radio.
1)haina cha frequency sjui ukiwa dodoma inachange ukija dar inachange link moja itastream maeneo yote.
2)hamna cha sjui redio hii inashika mkoa huu na mkoa huu haishiki (mfano ukienda maeneo ya vijijin unapata redio tanzania tu). Internet radio ipo world wide
kwa hio mkuu iphone ina radio sema tu sio fm
Nipenda jibu lako, liko ki professional zaidi, ndo kusema ulaya hakuna fm radio?
Duh kwa mwendo huu hizi mb 50 za tigo extreme hazitotosha.zipo mkuu lakini sio sana kama internet radio na wanapoeka vitu kama hv wanaforce watu wahame toka hizo fm kuja huku kwenye internet
Duh kwa mwendo huu hizi mb 50 za tigo extreme hazitotosha.
Ww skuiz matumiz meng!! Hata internet tv zpo!! Tena kwenye tv hzo mb 50 hazichukui Round
link ya hizo radio za bongo/softwareradio zipo mkuu ambacho hakipo ni fm radio tu. Iphone hazijatengenezwa kwa mtanzania thats why unaona cha ajabu hebu imagine situation hii.