Mkuu kwa habari za mtaani chuma ulete ni uchawi wa kuchukua pesa...Sheria ya uganga na uchawi ni marufuku kuchukua pesa bank au kuingia kumuwangia mtu ukakuta pesa mezani au popote huwezi chukua. Ukichukua hutoki ndomana wanga watakuchezea watakavyo ila pesa yako asubuhi utaikuta pembeni ya kitanda
Ni kweli ila kuchukua bank sheria za uchawi zinagoma.Mkuu kwa habari za mtaani chuma ulete ni uchawi wa kuchukua pesa...
Mshana Jr aliwahi kusema kuwa mambo kama hayo hutokea Bank ila huwa hayatangazwi.Nasubiri jibu la mshana jr, tu hapa, nifunge uzi
Wew acha masihala watu ni matajili wakubwa na ni wachawiMchawi haruhusuwi kuwa tajiri.atachuma hela za mboga tu.
unaish wap??? zunguka huku mikoani uone matajiri washirikina aiseeMchawi haruhusuwi kuwa tajiri.atachuma hela za mboga tu.
wewe hujui, wajanja wanaiba na ni matajiri wakubwa mpaka dola majini yanakuibia!Sheria ya uganga na uchawi ni marufuku kuchukua pesa bank au kuingia kumuwangia mtu ukakuta pesa mezani au popote huwezi chukua. Ukichukua hutoki ndomana wanga watakuchezea watakavyo ila pesa yako asubuhi utaikuta pembeni ya kitanda
tofautisha MSHIRIKINA NA MCHAWI MKUU..unaish wap??? zunguka huku mikoani uone matajiri washirikina aisee
Hao sio wachawi. Bali wanatumia nguvu za Giza kupata Mali.unaish wap??? zunguka huku mikoani uone matajiri washirikina aisee