LINCOLINMTZA
JF-Expert Member
- Mar 15, 2011
- 1,639
- 519
Hivi ndo mpango uliopo?Hamia azam
tatizo la azam chanel za kihindi ni nyingi sna utafikiri wote wahindi sijui wanapata bure
hakuna chanel za wanyama. leguer 1tu ya spain ndio huonesha
Naomba bei na vifurushi vyake mkuu!nunua digtek
nunua digtek
Bei zao zinaenda sambamba na thamani ya sarafu yetu, wao gharama zao ni kwa dollar.
Ambazo kama rand 14 ni sawa na US dollar 1, ina maana huku Tz twatakiwa tulipe Tshs.55000 kama 1US dollar ni Tshs 2200.Wanatuibia sana kama kura za.........Mkuu apa south africa ukilipia dstv RAND 350 unaona channel zote
tatizo la azam chanel za kihindi ni nyingi sna utafikiri wote wahindi sijui wanapata bure
hakuna chanel za wanyama. leguer 1tu ya spain ndio huonesha
Wanabodi,
Naomba kwa mwenye taarifa, kwa nini gharama za ulipiaji wa DSTV zimepanda ghafla tena kwa gharama kubwa?Kifurushi kilichokuwa 17,000 kwa sasa ni 23,500, kilichokuwa 34,000 kwa sasa ni 51,000 na kilichokuwa 56000 kwa sasa ni 84000 hadi 147000 ukiongeza Supersport 3 na 7. Tatizo ni nini? Wameleta mitambo mipya?
Mwenye taarifa, naombeni nijue.