Sasa kwanini wasisubiri mpaka waelewe ili wapelekane nyumbani?Yani hapo inaonyesha kitanda chake kina thamani zaidi ya mwili wake!
Hapo sawa...ila yule anaeishi peke yake nini kinasababisha ukiacha kuwa na mpenzi wake?
Kwa nini niache wakati unanipa maximum satsifaction? Raha yake ni kama Torres kuifunga liverpool leo!Hommie kumbe bado huwa unaendelea na huu mchezo
Kwa nini niache wakati unanipa maximum satsifaction? Raha yake ni kama Torres kuifunga liverpool leo!
Dah JF shule nimejifunza leo kua kama huna pesa we ni mtoto!Hehe nyie bado watoto!Pesa ya guest hamna..nyumba ya kuwapeleka hamna na hormone zinawazidi nguvu mpaka mnakimbilia vichakani!
Utawajua tu kwa maneno yao! Hahaha baadae usinikimbie!!Yaani mimi nasubiri maximum satisfaction pale Chelsea watakapofungwa leo......yaani ni zaidi ya kila kitu.....lol
Mwalimu that's why I like you the most! Btw nilikukataza kusoma kati ya mistari!Na ukipelekwa Kempinsky jee?
Mwalimu that's why I like you the most! Btw nilikukataza kusoma kati ya mistari!
Bado sijaelewa ishu hapa ni nyoka, guest au getto?Kwa karne hii mnapelekana kichakani kama sio tamaa na utoto ni nini?Mking'atwa na nyoka je?Nwyz kwani unalala kichakani?Mpeleke hapo unapolaza mgongo wako!
Hahaha ngoja tusubiri jibu la Kempisky! Mwisho wa cku tutajua tu mwalimu wangu!Kimey mie nilikuwa nauliza tu......si umeiona hiyo question mark mwishoni?
Utawajua tu kwa maneno yao! Hahaha baadae usinikimbie!!
Kwa hiyo nikikupeleka kempisky nimedharau mwili wako?Unless ni special occasion baada ya kupelekana nyumbani hamna tofauti zaidi ya bei na uzuri wa chumba!
Unless ni special occasion baada ya kupelekana nyumbani hamna tofauti zaidi ya bei na uzuri wa chumba!
Lizzy kumbe nawe washabikia tinejaz? Umesahau wahenga walisema ngoma ya watoto hailaliUtakimbia wewe na Rev Masanilo.....nitahakikisha hamlali na JF hamuonekani wiki nzima.....jana kidogo nipate maximun satisfaction wolves walipofunga Man U....ila ile sare inaniuma sana.....leo nafikiri nitafika juu ya mlima......lol:laugh::laugh::laugh: