NG'OTIMBEBEDZU
JF-Expert Member
- Aug 11, 2010
- 1,180
- 598
Suala ni ukatiri wa polisi dhidi ya mtu aliyekuwa hana madhara kwao. Hasira imekuja sababu kitendo kimeonekana, mhanga kalalamika kuomba msaada wa hewa hakusikilizwa na kibaya zaidi hata baada ya kuwa amekwishakufa bado polisi yule aliendelea kumkandamiza. Taarifa ya awali ya uchunguzi ikataka kuaminisha kuwa eti alikuwa pia na madhaifu mengine kiafya.Mimi bado nataka kujua huo ubaguzi upo wapi, Ni matukio ya kawaida kwa mapolisi wangi kutesa wahalifu mpaka kuwaua bila kufata taratibu husika.
Sasa lile tukio kunasibishwa na ubaguzi ndipo nashindwa kufahamu. kwa kuwa mfanyaji alikua ni mtu mweupe na mfanyiwa alikua ni Black ndio automatic inakua ndio ubaguzi?
Yah kila swali litajibiwa MKUUWazungu ndo wapingaji wakubwa wa ubaguzi, uruhusu ubongo wako uwe free utagundua hilo, tukio la mauji ya George mtu mweusi asilimia kubwa wanaoandamana kupinga ni wazungu, anzia Marekani kwenyewe, njoo ulaya na Australia watu wanaandamana kupinga mauaji ya George, Sasa jiulize wapi India, waarabu, China, Waajemi, Afrika, nk. Kwa nini maandamano yako nchi za wazungu tu?! Jibu ni muhimu.
Teyari na meme zimesha tengenezwa.Wazungu ni ngiruwe kabisaView attachment 1466663
Iyo video iko wapi?Haikua ajari kazini Mkuu, yule Askari ni kama Israel aliyekuja kuitoa roho ya Marehemu.
Jamaa kaenda kununua Sigara kwenye Duka ambalo yeye ni Mteja wa siku zote, na wanafahamiana mpaka na Mmiliki...
Muuzaji anahisi Noti alopewa ya $20 ni fake, anamwambia jamaa arudishe Sigara jamaa anakataa, Muuzaji anapiga Simu Police, baada ya Dakika 7 Police wawili wamefika, mmoja Mzungu mwingine JAMII ya Asia, wanamfata Jamaa kwenye Kona ya Mtaa ambapo Alikua amekaa na mwenzie kwenye Gari....
Wanamchomoa Jamaa, Jamaa Aleta Ubishi, Wanatumia Nguvu wanafanikiwa kumfunga Pingu, wanampeleka kwenye Gari yao ili wamwingize ndani jamaa analeta Ubishi, anawaambia Police yeye huwa anasumbuliwa na Ugonjwa wa kuwa na Hofu, hivyo anaogopa, Police Wanatumia nguvu wanamwingiza kwenye Gari....
Inakuja Gari ingine ya Police ikiwa na Police 3 na Muuzaji wake akaenda straight ilipokua gari ya Police wa mwanzo, Akamvuta Jamaa toka kwenye Siti za gari mpaka akaanguka chini (ile picha ambayo wengi tumeiona ni baada ya kumchomoa jamaa kwenye Siti kwa nguvu mpaka kuanguka chini)
Akamgandamiza na Magoti yake kati ya Shingo na Mgongo, kwa muda wa Dakika 8.... (ni kama alikua anajua anachokifanya) baadaye inaonekana kama Jamaa kazimia but Bado hakumwachia, baada ya kulegea zaidi Raia Wanamwambia Police amezimia, utamuua, mtizame kwenye mishipa tuone kama bado yupo Hai, Ndo Police anamwachia, yule Police JAMII ya Asia anacheck Mishipa ya Damu haoni hata mmoja!!
Wanambeba kumpeleka Hospital, inatangazwa baada ya saa 1 kafariki.
Unaweza kusema Ajari kazini Mkuu!
Usiwe mtu wa kupinda pinda Kwani nawe ni Police....
Jamaa aliuwawa.... Period!
Nami nimeshangaa! Alikufa kirahisi mno! Na wale polisi, wana roho ngumu mno. Jamaa anajikojolea, walaa hawashtuki kuwa jamaa ana hali mbaya!?
Sina shaka wale WAGOMVI watakuwa wamegundua style ya kummaliza mpinzani wake. Ni kukandamiza tu shingo chini kwa kutumia goti, adui kwisha habari yake!
Tengeneza tshirt mkuu, fursa iyo.Wazungu ni ngiruwe kabisaView attachment 1466663
Ubaguzi mkubwa bado upo barani Afrika na huu ni ukweli ambao muafrika hakubaliani nao,muafrika yupo tayari kumbagua muafrika mwenzake kwa sababu hata ya dini kwanini Na yeye asibauliwe.ndani ya bara la Africa kuna ubaguzi mkubwa Zaidi kuliko hata huo wa U.S, umewahi ubaguzi wakidini, ubaguzi wa kikabila, ubaguzi wa kiitikadi za vyama.
TZ imefika hatua ukigundulikana ni mfuasi wa vyama vya upinzani ajira kwenye serekali uisahau, Hivo ndivo tunavyoishi huku. Sasa hayo ya huko ni kudeka tu
Kwa hiyo kule mtaani wanakoandamana ni kwenye media?! Hao rangi zingine wenyewe wanapingia wapi? Hata hao waarab wana hulka ya kuandamana hadi wanapindua serikali kwa nini kwenye hili la ubaguzi wa kumtetea mtu mweusi hawajaandamana? Kwanini ni nchi za wazungu ndo wemeonyesha kupinga mauaji ya George hadharani? Hivi unajua maandamano ndo njia ya mwisho ya kupinga ama kudai kitu? Sasa kama watu hadi wamefikia hatua ya kuandamana kuonyesha wanavyochukia matendo ya ukiukwaji wa sheria na ubaguzi lakin wewe bado unawabeza sasa ulitaka wafanyeje ili uone kweli wanachukia ubaguzi?Yah kila swali litajibiwa MKUU
Wazungu wapingaji waubaguzi kwenye media wala sijakataa hili
Ila kwenye uhalisia wanajijua wenyewe
nawanapo andamana wanaonesha hisia zao ila usidhanie yakwamba wazungu wote niwabaguzi hapana nahaitakaa kua hivi watu hawafanani tabia (nipo na mzungu MKUU jamaa hana MAKUU kitambo tu nakuhusu hili tukio nilipo muiliza miongoni mwawengi alikua najibu jepesi tu maadam namimi naenda haja kama wao(ninyi) sinahaja yakujiona bora kuliko wao
Jamaa anapinga ubaguzi jamaa yuko simpo sana jamaa mstaarabu sana utadhani sio Mzungu utadhani sijui nani
Hao wazungu wengi hapo US wanaolalamikia hilo jambo sio wote wengi wengine wanalalamikia sababu yakiuchumi nandio maana wamejazana hivyo
Mwisho:- waafrika ndio weusi kiasili ila hawaja andamana kwasababu kwanza kuandamana sio lazima nihulka namapenzi yawatu tu ila sio kama kila asie andamana kwamba anaunga mkono hayo mambo napia sio kama kila alie andamana yupo pamoja nahao waandamanaji(kwenye wengi pana wengi pana mengi sana BOSS).
Kama wangekuwa ni masela wamepigana mtaani wakauana sidhani kama ingekuwa ishu ila hapa tayari ni taasisi imehusika. Usione ni kawaida kama hujawahi kuona raia mzungu kafa kwa kuwa tortured na askari mweusiMimi bado nataka kujua huo ubaguzi upo wapi, Ni matukio ya kawaida kwa mapolisi wangi kutesa wahalifu mpaka kuwaua bila kufata taratibu husika.
Sasa lile tukio kunasibishwa na ubaguzi ndipo nashindwa kufahamu. kwa kuwa mfanyaji alikua ni mtu mweupe na mfanyiwa alikua ni Black ndio automatic inakua ndio ubaguzi?
Unaweza kunionyesha wapi nilipo wabeza waandamanaji MKUU ?!Kwa hiyo kule mtaani wanakoandamana ni kwenye media?! Hao rangi zingine wenyewe wanapingia wapi? Hata hao waarab wana hulka ya kuandamana hadi wanapindua serikali kwa nini kwenye hili la ubaguzi wa kumtetea mtu mweusi hawajaandamana? Kwanini ni nchi za wazungu ndo wemeonyesha kupinga mauaji ya George hadharani? Hivi unajua maandamano ndo njia ya mwisho ya kupinga ama kudai kitu? Sasa kama watu hadi wamefikia hatua ya kuandamana kuonyesha wanavyochukia matendo ya ukiukwaji wa sheria na ubaguzi lakin wewe bado unawabeza sasa ulitaka wafanyeje ili uone kweli wanachukia ubaguzi?
Jibu ni muhimu.
Hao black America wanatudharau Sana Black African acha wakomeshwe tu ..Haikua ajari kazini Mkuu, yule Askari ni kama Israel aliyekuja kuitoa roho ya Marehemu.
Jamaa kaenda kununua Sigara kwenye Duka ambalo yeye ni Mteja wa siku zote, na wanafahamiana mpaka na Mmiliki...
Muuzaji anahisi Noti alopewa ya $20 ni fake, anamwambia jamaa arudishe Sigara jamaa anakataa, Muuzaji anapiga Simu Police, baada ya Dakika 7 Police wawili wamefika, mmoja Mzungu mwingine JAMII ya Asia, wanamfata Jamaa kwenye Kona ya Mtaa ambapo Alikua amekaa na mwenzie kwenye Gari....
Wanamchomoa Jamaa, Jamaa Aleta Ubishi, Wanatumia Nguvu wanafanikiwa kumfunga Pingu, wanampeleka kwenye Gari yao ili wamwingize ndani jamaa analeta Ubishi, anawaambia Police yeye huwa anasumbuliwa na Ugonjwa wa kuwa na Hofu, hivyo anaogopa, Police Wanatumia nguvu wanamwingiza kwenye Gari....
Inakuja Gari ingine ya Police ikiwa na Police 3 na Muuzaji wake akaenda straight ilipokua gari ya Police wa mwanzo, Akamvuta Jamaa toka kwenye Siti za gari mpaka akaanguka chini (ile picha ambayo wengi tumeiona ni baada ya kumchomoa jamaa kwenye Siti kwa nguvu mpaka kuanguka chini)
Akamgandamiza na Magoti yake kati ya Shingo na Mgongo, kwa muda wa Dakika 8.... (ni kama alikua anajua anachokifanya) baadaye inaonekana kama Jamaa kazimia but Bado hakumwachia, baada ya kulegea zaidi Raia Wanamwambia Police amezimia, utamuua, mtizame kwenye mishipa tuone kama bado yupo Hai, Ndo Police anamwachia, yule Police JAMII ya Asia anacheck Mishipa ya Damu haoni hata mmoja!!
Wanambeba kumpeleka Hospital, inatangazwa baada ya saa 1 kafariki.
Unaweza kusema Ajari kazini Mkuu!
Usiwe mtu wa kupinda pinda Kwani nawe ni Police....
Jamaa aliuwawa.... Period!
Acha uongo na unafiki , watanzania wanauawa kila siku hampigi kelele kenge wewe....Yah kila swali litajibiwa MKUU
Wazungu wapingaji waubaguzi kwenye media wala sijakataa hili
Ila kwenye uhalisia wanajijua wenyewe
nawanapo andamana wanaonesha hisia zao ila usidhanie yakwamba wazungu wote niwabaguzi hapana nahaitakaa kua hivi watu hawafanani tabia (nipo na mzungu MKUU jamaa hana MAKUU kitambo tu nakuhusu hili tukio nilipo muiliza miongoni mwawengi alikua najibu jepesi tu maadam namimi naenda haja kama wao(ninyi) sinahaja yakujiona bora kuliko wao
Jamaa anapinga ubaguzi jamaa yuko simpo sana jamaa mstaarabu sana utadhani sio Mzungu utadhani sijui nani
Hao wazungu wengi hapo US wanaolalamikia hilo jambo sio wote wengi wengine wanalalamikia sababu yakiuchumi nandio maana wamejazana hivyo
Mwisho:- waafrika ndio weusi kiasili ila hawaja andamana kwasababu kwanza kuandamana sio lazima nihulka namapenzi yawatu tu ila sio kama kila asie andamana kwamba anaunga mkono hayo mambo napia sio kama kila alie andamana yupo pamoja nahao waandamanaji(kwenye wengi pana wengi pana mengi sana BOSS).
Achana na Hilo chiziKwa hiyo kule mtaani wanakoandamana ni kwenye media?! Hao rangi zingine wenyewe wanapingia wapi? Hata hao waarab wana hulka ya kuandamana hadi wanapindua serikali kwa nini kwenye hili la ubaguzi wa kumtetea mtu mweusi hawajaandamana? Kwanini ni nchi za wazungu ndo wemeonyesha kupinga mauaji ya George hadharani? Hivi unajua maandamano ndo njia ya mwisho ya kupinga ama kudai kitu? Sasa kama watu hadi wamefikia hatua ya kuandamana kuonyesha wanavyochukia matendo ya ukiukwaji wa sheria na ubaguzi lakin wewe bado unawabeza sasa ulitaka wafanyeje ili uone kweli wanachukia ubaguzi?
Jibu ni muhimu.
Unaposema wazungu ni wapingaji ubaguzi kwenye media una maana gani kama si kubeza? Watu wanaprotest mataani hadi ikulu afu wewe unabeza eti wanapinga kwenye media! Kweli?! Yaani unapotosha makusudi kabisa wakati sisi sote tunaona na kusikia kinachoendelea.Unaweza kunionyesha wapi nilipo wabeza waandamanaji MKUU ?!
Kuandamana nihaki yakila mtu katika demokrasia napia nlikwambia sio wazungu wote niwabaguzi MKUU.
Kila mtu ana andamana kwanafasi nawakati wake ama natakwa lake (nna imani wewe huja andamana je unapenda ubaguzi).
Mwisho:-hakuna mtu anaelazimishwa kuandamana kwaajili yakumtetea fulani ama kutomtetea nihulka yamtu tu mataiafa mangapi ya afrika yameandamana katika kupinga hili ikiwa alobaguliwa ni rangi yao kabisa ama wao sio waathirika wakuu wahuo unaoitwa ubaguzi ama wanapenda kubaguliwa ?!
Wazungu wabaguzi kiasi kunakipindi walitengeneza sokwe halafu wakawa wanasema NO RASICM kupitia sokwe huyo hawa ndio wazungu pia sio wazungu wote niwabaguzi ila wengi wapo hivyo.....