Uchaguzi 2020 Kwanini GENTAMYCINE 'nitamchagua' haraka sana Mgombea 'Urais' wa CCM Dkt. Magufuli hiyo 28, Oktoba 2020?

Niko na wewe Genta,100 kwa 100,tena mnyama mwenzetu haa haa
Tena Rais Dkt. Magufuli 'anaipenda' Simba Sports Club kuliko vile ambavyo unadhani Mkuu. Na hata 'Mkewe' nae ni 'Mnyama' Mwenzetu vile vile.
 
1. Mthubutu wa Maendeleo ya Watanzania na Tanzania
2. Anajiamini na haogopi wala hatishiki kama Sifa Kuu ya Amiri Jeshi Mkuu makini
3. Ana Unyerere 40% na Usokoine 60% ambavyo vinamsaidia sana kumfanya akubalike na Werevu wengi duniani
4. Si Mnafiki, ni Muwazi, Mkweli huku akiwa si mpenda Majungu na Umbea
5. Ni mwenye Misimamo mikali yenye Tija ya Kimaendeleo kwa nchi na taifa
6. Penye Ubabe anauonyesha na kuutumia kweli na kwenye Huruma hudhihirisha Kivitendo
7. Ametukomesha tuliozoea Maisha ya Kiujanjaujanja na Kifisadi kwa Kuiziba Mirija yote na pia ni Simba Sports Club Mwenzangu

Ni matumaini yangu hasa Wapiga Kura wote 29,188,347 katika Vituo vyote vya Kupigia Kura 80,155 Nchini tutampigia Ndugu Dk. John Magufuli tu.
Nawaonea huruma waalimu walio kufundisha...walipoteza muda kweli
 
Back
Top Bottom