Kwanini FUTUHI haipendwi sana, wanakosea wapi?

Kwanini FUTUHI haipendwi sana, wanakosea wapi?

Kwani Orijino Comedy na Family Comedy wanapendwa na nani? Comedy inapokosa UBUNIFU inageuka upuuzi usiotazamika. Sijui kwanini hatutaki kujifunza kwa wengine na kuacha kuigana. Tangu wakina Masanja wavume na mtindo ule waliouasisi basi kila mmoja anataka afanye kama vile bila hata ubunifu.
Comedy ni vitu halisi na vitu serious in a joke stuff. Lakini hawa comedians wengi wanafanya vitu visivyo na mantiki yoyote.
Kweli kabisaa utakuta eti mtu anakata Tonge kubwa la ugali alafu anatafuna haraka haraka eti watu wacheke yani mambo ya kitoto kitoto tu na ujinga ujinga.....au kuvaa ligauni mwanaume Alf eti uigize kama mwanamke.....sijui huwa hawatazamani Comedy za wenzao wajifunze baadhi ya mambo
 
Ni upuuzi kabisa bora kusoma post za MSAGA SUMU unaweza kucheka.....

Cha kuwashauri waache kuigiza , nyakati zimebadilika sana.
 
Masifa yanawazidi baadhi pale. Mfano yule anaei.giza lafudhi ya kihaya na yule wa ki mtwara, sanaa yao haiendi na wakati. Akina bro K, msukuma wame improve wanaenda na wakati
 
Habarini Wadau,
Katika kipindi cha comedy ya FUTUHI kinachorushwa na Star TV, ukimuondoa Brother K yule wa mashati Oversize labda na yule Mjaluo, wengine wanaboa sanaa

Nafikiri wana juhudi sana ila hawajui kuingiza.
Kwa muda mfupi tu watu wanaikubali "Jambo na Vijambo" ila FUTUHI chalii.
Mnafikiri kitu gani wanapaswa wafanye ili kuboresha zaidi igizo lao.

mimi nadhani kinacho wa angusha futuhi. ni kituo wanacho rushia kipindi hiko. basi. kituo kime lala dorooo!
 
yn wameconcentrate sn kwny kuigza ...hawako comfortable na wanachokifny ni km wamekaririshwa hv hawajiachii...hawana free style katika kuongeaa...iko ndo kinachowaangusha
 
wanatumia nguvu nyingi sana...kuvaa uhusika wa kuchekesha....
 
Back
Top Bottom