Kwanini Freeman Mbowe anasemwa vibaya mara kwa mara?

mzalendo iq1

JF-Expert Member
Mar 10, 2020
1,060
2,000
Habari wadau,

Baada ya kumsikia Waitara na Wabunge wengi pamoja na baadhi ya viongozi wa ngazi za juu Chadema kumtupia lawama mwenyekiti Mbowe na ufisadi na kumtuhumu kukiuka katiba ya chama cha hadema na kutumia madaraka vibaya, nashangaa kuona vijana wapambanaji wa Chadema na baadhi ya viongozi wamekaa kimia bila kusema chochote.

Pia, sijui kwanini makamanda hawahoji tuhuma za mwenyekit wao au yale maneno ya sumu haijaribishwi kwa kuonjwa ni kweli?

Au makamanda wanajua hela hua zinaenda wapi so hayo yanayo ongelewa yanaonekana ni porojo tu?

Na kwanini viongozi na Wabunge wanaojitoa Chadema moja kwa moja wanaitwa mamluki au kuvishwa lawama ya usaliti bila kuhoji kwanini wamejitoa ndani ya chama na sio kuanza kusema wamenunuliwa sababu kama kweli Chadema wana viongozi wanaonunulika basi hawastahili kuwa viongozi wa nchi sababu wanaweza kununulika kwa bei Rais na kuuza nchi kwa mabeberu.

Pia, hoja inayotumika kuficha ukwel ni hoja dhaifu sana huwezi sema kama walikua wananyanyaswa kwanini wasiseme wakati bado wapo Chadema. Wanaosema ivyo wanakosa points tetezi sababu wote wamesema kujitoa ilihali bado wako Chadema ndiyo maana waligoma kutokwenda bungeni so walikua bado wanachama na Wabunge lakini wakagoma kwenda bungeni.

Hii inaonesha kabisa kuchoka kuendelea kutumikia sababu huwezi sema wametoka Chadema na kwenda kungine sababu ya madaraka, sio kweli maana wanahama wakiwa wabunge na wanajua kabisa kua wakikosa udhamin wa vyama vyao wanakua sio Wabunge tena, hivyo wameamua kusema tu ukweli.

Pia, baada ya Bunge kuvunjwa nina imani Wabunge wengi wa Chadema watajiengua. Time will tell

Makamanda njooni mtufafanulie hoja.
 

mzalendo iq1

JF-Expert Member
Mar 10, 2020
1,060
2,000
Habari wadau

Naomba kuuliza kuna utofauti gani wa ukomo wa uongozi katika katiba? Katiba ya chadema Ina ukomo wa uongozi kwa ngazi ya uenyekit lakini miaka nenda rud imekua katiba ikivunjwa na kumfanya mwenyekit kuendelea kusalia madarakan. Na kukiita kitendo icho ukomavu wa demokrasia. Na Wala siping Mana katiba ni watu na wao ndio wanao uwezo wa kubadilisha vifungu vya katiba walio iunda na moja ya demokrasia ni watu walio iunda katiba kuweza kuivunja katiba

Lakin nashangaa kwa nin hao hao ambao kwa kuvunja katiba imewafanya wasalie madarakani wanawaita wenzao wenye kuitajika katika jamii kuendelea kua madarakan kwa kuivunja katiba ya kwanza ili wampe nafasi ingine. Kama kwao ni ukomavu wa demokrasia vip uku kwingine?

Kama uku uku wananch kuivunja katiba sio haki kwanini kwao iwe haki.

Ukisema uongozi kuachiana Kwann yeye asiachie wengine?


Sent using Jamii Forums mobile app
 

mitigator

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
4,489
2,000
Habari wadau,

Baada ya kumsikia Waitara na Wabunge wengi pamoja na baadhi ya viongozi wa ngazi za juu Chadema kumtupia lawama mwenyekiti Mbowe na ufisadi na kumtuhumu kukiuka katiba ya chama cha hadema na kutumia madaraka vibaya, nashangaa kuona vijana wapambanaji wa Chadema na baadhi ya viongozi wamekaa kimia bila kusema chochote.

Pia sijui Kwann makamanda Hawa hoji tuhuma za mwenyekit wao au Yale maneno ya sumu haijaribushwi kwa kuonjwa ni kweli?

Au makamanda wanajua hela hua zinaenda wapi so hayo yanayo ongelewa Yana onekana ni porojo tu?

Na kwanini viongoz na Wabunge wanaojitoa chadema moja kwa moja wanaitwa mamluki au kuvishwa lawama ya usalit bila kuhoji Kwanini wamejitoa ndani ya chama na Sio kuanza kusema wamenunuliwa sababu Kama kweli chadema Wana viongozi wanao nunulika Basi hawastail kua viongoz wa nchi sababu wanaweza kununulika kwa Bei Rais na kuuza nchi kwa mabeberu

Pia hoja inayo tumika kuficha ukwel ni hoja dhaifu Sana huwezi sema Kama walikua Wana nyanyaswa kwanini wasiseme wakat bado wapo chadema. Wanao sema ivyo wanakosa points tetez sababu wote wamesema kujitoa ilihali bado wako chadema ndiomana waligoma kuto kwenda bungeni so walikua bado wanachama na Wabunge lakini Waka goma kwenda bungeni hii inaonesha kabisa kuchoka kuendelea kutumikia sababu huwez sema wametoka chadema na kwenda kungine sababu ya madaraka sio kwel Mana wanahama wakiwa wabunge na wanajua kabisa kua wakikosa udhamin wa vyama vyao wanakua sio Wabunge Tena ivyo wameamua kusema tu Ukwel

Pia baada ya Bunge kuvunjwa naiman Wabunge wengi wa chadema wata jiengua Time Will Tell

Makamanda njoon mtufafanulie hoja
Yaan ahangaike ni vibwengu wa lumumba wew ukiwa moja wapo.....umekaririshwa na polepole mmekua ka mizombie kutwa Mbowe kwa kua mnajua ndo mwamba.Dola na vyombo vingine vyote vya kwenu ila mnapiga miporojo mithili ya walevi wa ndele yaan nyie mijitu mnatia aibu
 
Top Bottom