Kwanini Edward Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania 2015

Fanya yako mkuu, Lowassa sio level zako, pambana ukomboe familia yako. Lowassa has nothing to deals with idiots
 
Historia itamhukumu mzee Lowassa.
Huyu ni mwanasiasa mwenye fani ya usanii ambaye katokea mbali sana kutaka kuwania urais, Tanzania.
Kwa bahati mbaya(pengine nzuri kwa Taifa), mara zote imeshindikana.

Walianza na mwenziwe Kikwete, enzi hizo za Mwalimu.
Mwalimu hakuwa na chenga chenga, alisema hufai, kijana mdogo nimekuajiri ukiwa masikini toka umasaini leo una utajiri.

Lowassa hakukata tamaa, mwaka 2005 wakaunda mtandao, ili kwa njia hiyo zkikwete atangulizwe urais, Lowassa amalizie.
Siri ya Kikwete kumruka mwenziwe Lowassa bado ni siri yake.
Lowassa alipoona upepo na. na mweziwe hauvumi pamoja, akaunda mtandao wake mwenyewe, ndani ya CCM.
Sasa mapambano kati ya wawili hawa yakawa peupe, mtandao wa Lowassa ukaenda mbali na kuimba mbele ya mwenyekiti wa chama".... Tuna imani na Lowassa, oyaa. Oyaaa, oyaaa...!!"
Hapo Kikwete akawa amezipata za uso, live tena kavu, lakini yeye ndo alikuwa na veto, kura ya turufu.
Ilipofika wakati wake, akamkata, live.

Lowassa , CCM ikawa haifai tena , tatizo lake ni urais, kwa hiyo akapiga dili ndefuu, pesa ikaongea.
Kufumna na kufumbua macho Lowassa huyu hapa, anagombea urais kupitia chama kikuu pinzani.

Wazee machale yakawacheza!
Vijana wao wakayanusa mabadiliko!

Akaingia ulingoni jamaa sijui katoka wapi yule, na yeye msimamo wake ni Hapa Kazi Tu!
Hakujisumbua kuelezea misimamo ya chama, wimbo wa miaka nenda rudi, yeye kaanza na push up!

Vijana wakaanza kuona mabadiliko ya upepo!

Wisho wa siku, Lowassa akatumia dili la mamluki kujitangaza mshindi.
Jamaa kumbe wameikweka pini system yake, yeye wamemwachia tu.

Mwisho wa sikuLowassa yuko pale pale.
Sijui atarudi CCM kujaribu tena urais?
Sijui!
 
Naunga Mkono hoja. Wengi hawajui hilo. Hasa para ya Mwisho. Hivi wale Hacker's waliokamatwa Na Polisi wapo wapi
 
Lowassa alichofanikiwa kwenye siasa ni kukinunua chama kikuu cha upinzani na kukibadili kuwa chama cha kusafisha mafisadi.
 
Wale hackers tushawabinya pumb.u na wamemtaja lowasa ndio mfadhili wao mkuu.
 
Lowassa ni mwanasiasa makin na mcha mungu ndyo maana wapiga dili wa ccm wanamuohopa,..
 
Lowassa maana siasa lakini
hakuna hadi dakika you wa kumfanana and labda sokoine tukiacha baba wa taifa .Na ndio maana Amekua tishio. Kukuonyesha to ni pale wabaya wanavyofikiri wamemmaliza kumbe ndio kwanza ankuja upya. Walikata I PM akitoka kwa nguvu ya ajabu Kua mgombea,wakamkata dodoma akaibuka Kua mgombea halali as urais ,wamemchakachua kura ...now watch the space !! Huyo ndio Edward Ngoyai LOWASSA. ..muulize UP anavyoijua nguvu yake hadi kumalizia hazina kwenye mabunduki mabomu na magari ya washa washa kwa kumhigia Laigwanan......mtoa post na wengine kaeni mkao wakula
 
Lowassa ni mwanasiasa makin na mcha mungu ndyo maana wapiga dili wa ccm wanamuohopa,..

Tafadhali Embu muogope Mungu Lowassa kaanza lini ucha Mungu ?....huyu ni fisadi aliyekubuhu anayestahiki kunyongwa.....
 
Jamaa is the biggest looser of our time.. Nadhani ni mtanzania wa kwanza kupata hasara kubwa tangu uhuru
 
Lowassa maana siasa lakini
hakuna hadi dakika you wa kumfanana and labda sokoine tukiacha baba wa taifa .Na ndio maana Amekua tishio. Kukuonyesha to ni pale wabaya wanavyofikiri wamemmaliza kumbe ndio kwanza ankuja upya. Walikata I PM akitoka kwa nguvu ya ajabu Kua mgombea,wakamkata dodoma akaibuka Kua mgombea halali as urais ,wamemchakachua kura ...now watch the space !! Huyo ndio Edward Ngoyai LOWASSA. ..muulize UP anavyoijua nguvu yake hadi kumalizia hazina kwenye mabunduki mabomu na magari ya washa washa kwa kumhigia Laigwanan......mtoa post na wengine kaeni mkao wakula

Tatizo halikuwa kumuogopa Lowassa bali ilikuwa ni kuwaokoa wapumbavu kama wewe wasiangamie ambao waliingia kichwakichwa bila kujua hila za Lowassa.
 
Back
Top Bottom