Kwanini Edward Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania 2015

Lowassa maana siasa lakini
hakuna hadi dakika you wa kumfanana and labda sokoine tukiacha baba wa taifa .Na ndio maana Amekua tishio. Kukuonyesha to ni pale wabaya wanavyofikiri wamemmaliza kumbe ndio kwanza ankuja upya. Walikata I PM akitoka kwa nguvu ya ajabu Kua mgombea,wakamkata dodoma akaibuka Kua mgombea halali as urais ,wamemchakachua kura ...now watch the space !! Huyo ndio Edward Ngoyai LOWASSA. ..muulize UP anavyoijua nguvu yake hadi kumalizia hazina kwenye mabunduki mabomu na magari ya washa washa kwa kumhigia Laigwanan......mtoa post na wengine kaeni mkao wakula

Acha kujifariji. Hakuna mbinu ovu inayofanywa na kijikundi fulani dhidi ya maslahi ya Taifa, ikafanikiwa.

Itafahamika tu, na itazuiwa.

Uovu utabaki kuwa uovu tu, hata utoe kisingizio gani. Haukubaliki Duniani na Mbinguni.
 
Lowassa maana siasa lakini
hakuna hadi dakika you wa kumfanana and labda sokoine tukiacha baba wa taifa .Na ndio maana Amekua tishio. Kukuonyesha to ni pale wabaya wanavyofikiri wamemmaliza kumbe ndio kwanza ankuja upya. Walikata I PM akitoka kwa nguvu ya ajabu Kua mgombea,wakamkata dodoma akaibuka Kua mgombea halali as urais ,wamemchakachua kura ...now watch the space !! Huyo ndio Edward Ngoyai LOWASSA. ..muulize UP anavyoijua nguvu yake hadi kumalizia hazina kwenye mabunduki mabomu na magari ya washa washa kwa kumhigia Laigwanan......mtoa post na wengine kaeni mkao wakula

Hujakosea umesema kwelikuwa mpaka sasa hakuna mwansiasa yeyote anayefanana n lowassa katka kupiha dili za kifisadi. Na katika hilo wtz hatukukosea kumkata sasa akachungunge monduli
 
Mungu ndiye mhukumu wa yote. Kama Magufuli ameshinda kwa haki basi atafanikiwa na Tanzania itaneemeka, lakini kama kuna hila ilitumika kuingia madarakani, hata kama Lowasa alikuwa hafai kwa mtizamo wa watawala, basi utawala wake utakuwa wa shida na nchi haitafanikiwa. Hii ni kanuni ya kimbingu, Mungu hadhihakiwi chochote mtu apandacho ndicho atakachovuna.
 
Hlf lowasa keshakula maisha yak vya kutosha hana shida hana tatizo kama ameweza kunyamaza ametuonyesha busara ya hali ya juu..pil ambacho hujajua Lowasa ana kitu kinaitwa Charisma yaani anapendwa tu na watu ana nyota ya kupendwa frm no where anapendwa tu ndo maana Nape Nauye alihojiwa BBC mwenyewe akakiri walitumia akili nyingi sana ili wachukue ushindi... pamoja na kwamba lowasa ana tuhuma za ufisad ukwl utabaki kuwa Mungu amemjalia nyota ya kupendwa na watu! c ajabu Mungu akimpa ubukher wa afya mwaka 2020 tukaongelea mengine..
 
Ukiwa na pesa na ukawa muongaji mzuri utapendwa dunia nzima.na hii ni kwa wote sio lowassa tu
 
Nimekua nikimfikiria sana huyu mzee ila bado niko njia panda.
Nimezaliwa majuzi ivyo sijapata nafasi ya kumjua huyo mtu vizuri ila kwa wale wajomba/wazee wangu naombeni mnifungue macho kuhusu huyu bwana.
Kwa utashi wangu mimi naona anacheza na akili za watanzania ili kutengeneza mazingira flani hivi ya kupata wapiga kura iuli aingie ikulu.
Kinachoniumiza sana kichwa ni swala la yeye kutoka CCM fasta baada ya kutoshwa na mshkaji wake wa long time!
Kwa nini ahamie chadema na kugombea urais mda huo huo?
Mimi naona alikua keshajiwekea akilini mwake kwamba akitoka rafki yake JK basi na yeye ndie atakua rais mpya wa jamhuri.
Lakini huyu mtu ni shupavu sana, anajua kucheza game. Maskini wa Mungu nilijua atapata presha lakini wapi mzee alitulia akavuta pumzi na sasa anasaka wafuasi tena kwa kila namna na maneno mazuri ya ushawishi.
Huyu najua kabisa anapenda urais kwa nguvu sema tuu mazingira ya tanzania haya sapoti kujengeka kwa uasi yani na hakika hapa ungekuta vita inapigwa. Kweli mzee Nyerere kaweka infrastructure matata sana.
Kwa maono yangu na yaye niliyoyaskia najua Lowassa kamwaga pesa nyingi sana ili aingie Magogoni na wallah huyu mtu angeingai hii inchi sio tuu ingeyumba bali ingezama kabisa kama ilivyozama meli maarafu ya atlantic miaka hiyo.
Gharama aliyoitumia lazima angeirudisha, na nina hakika ana madeni kibao.

Halafu kwani miaka ya nyuma alikua anapanda daladala na kunywa uji au kwenda kusalimia watu sokoni? Huyu bwana mjanja sana anajua kucheza na watanzania na kweli kwa wale wenye uelewa mdogo watamwamini kwa asilimia 100% kumbe wapi, wameshachezewa kisaikolojia na mwishowe wanakubali tuu kama mwanamke alietongozwa akalainika!
Chadema nao wanafiki tuu, mimi ni miongoni mwa binadamu tunaoamini hapa tanzania hakuna upinzani. Baada ya kuondoka slaa basi nami nikasema sina chama na badala yake namuangalia mtu kama mtu, basi. Iweje chadema wampokee fisadi waliekuwa wanamsema kila siku? sasa hapa ndo uamini kweli wanachadema ni viumbe wa ajabu sana katika huu uso wa dunia? ukiwaambia wakupe sababu za kumpokea watakupiga bla bla tuu, nasema tena hao ni wanafiki na wafanya biashara tuu.
Bora imeingia ccm madarakani maana kubasilisha system katika hali ya watu kama wapendwa hapo juu ni sawa na kuomba makazi kwa shetani ili upate mkate wakati unajua shetani always ni muongo.
Nilikua napenda kaliba ya viongozi kama sankara na hatimae tumepata, kwa mambo anayofanya magufuli baada ya miaka miwili tuu matunda mema tutavuna sana.

Ndugu zanguni hasa vijana naombeni sana mtumie akili na utashi sio kukurupuka tuu kabla ya kufanya maamuzi, Na wale wakubwa/wazee/wazazi wetu tunaomba mtufundishe mema, tujue mema na mabaya na yale yaliyofichika maana kwa hali kama hii ni rahisi sana kuingizwa mkenge ambao sio tuu utatugharimu bali kuligharimu taifa zima.
God bless Magufuli, Mungu ibariki tanzania, Mungu ibariki afrika.
 
Nahisi Unatumia akili za chini kufikiri ww
 
Boo

Boonge la komedian
 
Back
Top Bottom