Kwanini Edward Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania 2015

Wanao Onekana Kupagawa Na Edward Ni Wale Wasiojielewa Kabisa,
Hana Sifa Ya Kuwa Kiongoz Kabisa
1. Katuingiza Hasara Kwa Kuiba Ela Ya Richmond, Eti Bado Watu Wanamshangilia,
2. Kakwamisha Maendeleo Ya Maji Jimbon Kwake Na Kula Ela Ya Mradi, Mateja Wa Manyanya Wanashangilia
3. Katufanyia Mazingaombwe Ya Kutapeli Kupitia Mvua Ya Kununua Thailand, Mazuzu Wanashangilia
4. Kaonekana Kukereketwa Sana Kwenda Ikulu Hata Kwa Kununua Watu, Mnashangilia
5. Kachukua Ranchi Zote Bado Mazuzu Yanashangilia
6. Katafta Kura Kwa Walutheri Bado Mnakenua
7. Kafisad Ela Za Aicc Bado Mnapanua Midomo, Kuweni Na Uelewa Achen Mkumbo Nyie

jitu zima linasahau escow na kuhongwa elfu 7 kuja kujitia haibu hapa kweli njaa mbaya sana.
 
Wanao Onekana Kupagawa Na Edward Ni Wale Wasiojielewa Kabisa,
Hana Sifa Ya Kuwa Kiongoz Kabisa
1. Katuingiza Hasara Kwa Kuiba Ela Ya Richmond, Eti Bado Watu Wanamshangilia,
2. Kakwamisha Maendeleo Ya Maji Jimbon Kwake Na Kula Ela Ya Mradi, Mateja Wa Manyanya Wanashangilia
3. Katufanyia Mazingaombwe Ya Kutapeli Kupitia Mvua Ya Kununua Thailand, Mazuzu Wanashangilia
4. Kaonekana Kukereketwa Sana Kwenda Ikulu Hata Kwa Kununua Watu, Mnashangilia
5. Kachukua Ranchi Zote Bado Mazuzu Yanashangilia
6. Katafta Kura Kwa Walutheri Bado Mnakenua
7. Kafisad Ela Za Aicc Bado Mnapanua Midomo, Kuweni Na Uelewa Achen Mkumbo Nyie

Hata kuandika hujui, kichwa chako kimejaa uzuzu usiotibika!
Mwambie mumeo akupeleke shule ukasome, usikalie kugongwa tu..
 
kwani nyinyi mnavyoishobokea CCM hamjui kua imetuibia na kuturudisha nyuma???
 
Wanao Onekana Kupagawa Na Edward Ni Wale Wasiojielewa Kabisa,
Hana Sifa Ya Kuwa Kiongoz Kabisa
1. Katuingiza Hasara Kwa Kuiba Ela Ya Richmond, Eti Bado Watu Wanamshangilia,
2. Kakwamisha Maendeleo Ya Maji Jimbon Kwake Na Kula Ela Ya Mradi, Mateja Wa Manyanya Wanashangilia
3. Katufanyia Mazingaombwe Ya Kutapeli Kupitia Mvua Ya Kununua Thailand, Mazuzu Wanashangilia
4. Kaonekana Kukereketwa Sana Kwenda Ikulu Hata Kwa Kununua Watu, Mnashangilia
5. Kachukua Ranchi Zote Bado Mazuzu Yanashangilia
6. Katafta Kura Kwa Walutheri Bado Mnakenua
7. Kafisad Ela Za Aicc Bado Mnapanua Midomo, Kuweni Na Uelewa Achen Mkumbo Nyie

Hatakama, watu / majitu tumeichoka CCM
 
Mabadiliko Lowassa
Lowassa Mabadiliko
Ccm Imechoka Tuitoe By Magufuli.
 
Wanao Onekana Kupagawa Na Edward Ni Wale Wasiojielewa Kabisa,
Hana Sifa Ya Kuwa Kiongoz Kabisa
1. Katuingiza Hasara Kwa Kuiba Ela Ya Richmond, Eti Bado Watu Wanamshangilia,
2. Kakwamisha Maendeleo Ya Maji Jimbon Kwake Na Kula Ela Ya Mradi, Mateja Wa Manyanya Wanashangilia
3. Katufanyia Mazingaombwe Ya Kutapeli Kupitia Mvua Ya Kununua Thailand, Mazuzu Wanashangilia
4. Kaonekana Kukereketwa Sana Kwenda Ikulu Hata Kwa Kununua Watu, Mnashangilia
5. Kachukua Ranchi Zote Bado Mazuzu Yanashangilia
6. Katafta Kura Kwa Walutheri Bado Mnakenua
7. Kafisad Ela Za Aicc Bado Mnapanua Midomo, Kuweni Na Uelewa Achen Mkumbo Nyie

Mbona hajakamatwa. Mhalifu huthibitika mahakamani kama ilivyotokea kwa Mramba, Yona et al.
Wezi halisi ni hao walioujaza moyo wako!!!

Tafakari chukua hatua.
 
Hapo sasa ndio lumumba mnapokosea,mnatumia muda mwingi sana kutueleza kwa nini Lowasa hafai kuwa raisi badala ya kutumia muda kutueleza kwa nini Magufuri anafaa kuwa raisi.Hata hivyo its too late.
 
zuzu mwenyewe.kura yangu bdugu zangu 500+ tutampa lowasa. leta orodha ya wezi wa escrow kupitia stambic ndo tubadiri msimamo la sivyo kichinjio tunacho
 
Unasema alie iba, je walioiba wako wapi? hivi lini mtu atakuwa mzalendo, yaani wewe kwa sababu unafaidi huo mfumo mbovu unadhani na wengine wapo hivyo!
 
Hawako wengi, wehu ni wachache! Usihofu, taifa zima kujitambia ni ngumu, lazima wachache wawe hivyo
 
Baada ya viroba wanajisahau hila kura wana mpa Magufuli
 
Attachments

  • 1445352437598.jpg
    1445352437598.jpg
    61.9 KB · Views: 91
Wewe amabaye HAUNA MKUMBO twambie unamtaka nani ambaye si Mwizi wala hana tuhuma ya wizi wa mali za nchi hii. Ukiweza kunijibu hapo nitakuelewa. Tafadhali pambanua na acha jaziba.
 
Jifunze uandishi sahihi.

Kwani zuzu ni nani? Yule atakayemchagua au wewe unayejua yeye ndiye aliyeyaibia haya "majitu" halafu ushahidi unao halafu unalialia hapa na mahakama unaijua!
 
Na hiyo ni sababu tosha ya kuindoa Ccm madarakani ni upumbavu taasisi tulioipa dhamana ya kuongoza nchi na kuendesha serikali inaachia mwizi anatamba mtaani hadi anagombea urais, sasa hapo zuzu sijui ni nani anayechugua mwizi au aliyepawa dhamana ya kufunga majizi ila kayaacha yagombee urais?
 
Back
Top Bottom