Kwanini dunia?

Kwanini dunia?

Ksbb ya mawazo ndio umeandika ili mradi tu?. Nia ni kutujulisha namna ulivyopata HIV na ilivyokusababishia mawazo. Tulia andika vizuri. Ila uondoe huo uongo wa kuazima sindano ikakuambukiza HIV,huo uongo uondoe. Eleza tu ukweli ulivyoingia kwenye mahusiano na hilo jimama. Huo uongo wa sindano kamwambie mdogoako,humu watu wana akili,kama wanakuwemo kichwani mwako.
 
Mimi ni kijana wa miaka 21, lakini nimepitia maisha ya huzuni na msongo wa mawazo japo kwa nje naonekana mwenye furaha, historia yangu inasikitisha sana nimeamua kushare na ninyi, nilipokuwa na miaka 12 nilienda kuomba sindano ya kushonea kwa jirani kwa ajili ya kutengenezea mpira nilikua napenda sana mpira kwa bahati mbaya ile sindano ilinichoma, mwaka 2014 nikiwa na miaka 14 nilianza kuhisi dalili kadhaa za HIV na kuanzia huo mwaka mpaka leo nimekuwa mtu wa mawazo sana nimeshindwa kwenda kupima nikihisi ntakutwa nao, na yule mama naskia anao.

Ndugu zangu nilikuwa na akili sana darasani lakini kuanzia form one nilianza kufanya vibaya kwa sababu ya mawazo hayo, Form 4 nilifaulu kwa division III ya kawaida yote sababu ya mawazo, baba yangu alinidhihaki kwa matokeo sikumlaumu kwa sababu hakujua machungu niliyopitia na ninayo pitia, najiuliza kwanin Mungu ameruhusu mtu innocent kama mim niteseke mienendo yngu ni mizuri lakn kwanini hili baya linipate?

Chuo nimestopisha kwa sasa Nina mpenzi nimempima HIV yupo safe kabisa ananipenda sana Ila sijataka kuwa naye kimwili mpaka nitakapojua mstakabali wangu, wito wangu kwa wazazi vitu kama sindano na vitu vyenye ncha kali ni vya kuwa navyo nyumbani pia vitu kama sindano si vya kuazima tafadhalini, na sio kuwa kila anachopitia mtoto atakuelezea jaribuni kukaa na watoto wenu karibu, kwanin mruhusu wasiokua na hatia walie maisha yao yote?
UKIMWI Haupatikani Kwa sindano za kuazima mkuu tena za kushonea viatu? Au za kushonea nguo?
 
Vipimo ninavyo but naogopa kupima,, itokee nipime nikute ninao kwa kosa gan mim nimefany? Ningekuw malaya sawa but me innocent kabisa, dadaang ngj nilie kwanz
You are Man, 21 years now.... now Stop crying like a Woman dude, there are Millions of people who are HIV+ and still lives happily and taking care of themselves.
 
Mmmh! Siyo kweli, kwani hiyo uliikuta na damu? Pia uliitumia ndani ya muda huo huo na wewe pia kujichoma?
 
Huna HIV kinacho kusumbua wewe ni HOFU ukikuwa utanielewa namaanisha ninj
 
You are Man, 21 years now.... now Stop crying like a Woman dude, there are Millions of people who are HIV+ and still lives happily and taking care of themselves.
Asante sana kwa ushauri wako bro Yan miaka yote hyo nimekaa nikihisi Nina hiv kumbe sivyo, nimelia kwanza kisha nikapima nakuta imesoma C,, ntapima tena nilete mrejesho asanteni sana
 
Asante sana kwa ushauri wako bro Yan miaka yote hyo nimekaa nikihisi Nina hiv kumbe sivyo, nimelia kwanza kisha nikapima nakuta imesoma C,, ntapima tena nilete mrejesho asanteni sana

Utoto Raha sana.
 
Back
Top Bottom