MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,707
- 21,867
Ataonekanaje shujaa....akat anapinga tozo zinazojenga nchi...[emoji23][emoji23]Juzi nilikuwa nafuatilia mjadala wa demokrasia ndani ya Al Jazeera, majina kadha wa kadha ya miamba ya upinzani yalikuwa yanatajwa Cha ajabu hamna hata mara moja jina la Mbowe lilitajwa hata kwa bahati mbaya. Utasikia Chagulanyi, Miguna, Ingabire Victore, Odinga, Malema nk.
Sidhani Kama dunia inamtendea Mbowe haki kumfanya kuwa mdogo kiasi hicho, Mbowe sio local kiasi hicho mpaka jina lake liweze kuishia kwenye gazeti la Raia Mwema na page ya Chadema in blood pale Facebook .
Tunataka kumuona Mbowe kwenye majarida na tv kubwakubwa ulimwenguni Kama wenzake wakina Bobi Wine.
Dunia impe heshima mwenyekiti wetu.
Tatizo chadema hamtaki uchunguzi wa matatizo yanayotokea. Kifo cha wangwe, mbowe kupigwa na wanaume watatu, lissu kupigwa risasi, nk.Juzi nilikuwa nafuatilia mjadala wa demokrasia ndani ya Al Jazeera, majina kadha wa kadha ya miamba ya upinzani yalikuwa yanatajwa Cha ajabu hamna hata mara moja jina la Mbowe lilitajwa hata kwa bahati mbaya. Utasikia Chagulanyi, Miguna, Ingabire Victore, Odinga, Malema nk.
Sidhani Kama dunia inamtendea Mbowe haki kumfanya kuwa mdogo kiasi hicho, Mbowe sio local kiasi hicho mpaka jina lake liweze kuishia kwenye gazeti la Raia Mwema na page ya Chadema in blood pale Facebook .
Tunataka kumuona Mbowe kwenye majarida na tv kubwakubwa ulimwenguni Kama wenzake wakina Bobi Wine.
Dunia impe heshima mwenyekiti wetu.
Mbowe Ni nguzo na alama ya upinzani sio Afrika tu bali dunianiFreeman Mbowe siyo kibaraka wao ndio sababu
Acha umbea.Utakufa umeachama mdomo kama mamba.πππJuzi nilikuwa nafuatilia mjadala wa demokrasia ndani ya Al Jazeera, majina kadha wa kadha ya miamba ya upinzani yalikuwa yanatajwa Cha ajabu hamna hata mara moja jina la Mbowe lilitajwa hata kwa bahati mbaya. Utasikia Chagulanyi, Miguna, Ingabire Victore, Odinga, Malema nk.
Sidhani Kama dunia inamtendea Mbowe haki kumfanya kuwa mdogo kiasi hicho, Mbowe sio local kiasi hicho mpaka jina lake liweze kuishia kwenye gazeti la Raia Mwema na page ya Chadema in blood pale Facebook .
Tunataka kumuona Mbowe kwenye majarida na tv kubwakubwa ulimwenguni Kama wenzake wakina Bobi Wine.
Dunia impe heshima mwenyekiti wetu.
Labda Al Jazeera nao ni wana CCM! Ahahahahah!!!Juzi nilikuwa nafuatilia mjadala wa demokrasia ndani ya Al Jazeera, majina kadha wa kadha ya miamba ya upinzani yalikuwa yanatajwa Cha ajabu hamna hata mara moja jina la Mbowe lilitajwa hata kwa bahati mbaya. Utasikia Chagulanyi, Miguna, Ingabire Victore, Odinga, Malema nk.