STEIN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2010
- 1,770
- 553
Wanabodi.
Kwa nini Dr. Slaa apendi kwenda kwenye misiba ya wasanii wetu. Dr. Slaa anaonekana kwenye misiba michache ya kisiasa ambayo ina maslahi na Chadema.
Dr. Slaa mbona unawatenga wasanii wewe ni kiongozi usijachuguwe misiba ya kuhudhuria wasanii nao ni wapiga kura.
Dr. Slaa jifunze kutoka kwa viongozi wengine kuwa mtu mwenye kujali ubinadamu.
Dr Slaa si mwepesi kwa kiwango hicho, na hatafuti Urais kwa kujipendekeza kwa kuteka misiba.