sitagliptin
JF-Expert Member
- Mar 10, 2023
- 1,501
- 2,935
mbona we unachuki na dr slaa shida nini?
umechagua wa kuwapenda
ye kachagua wa kuwachukia
shida wapi
umechagua wa kuwapenda
ye kachagua wa kuwachukia
shida wapi
Hiyo takwimu ya upendo wa mamilioni ilifanyika lini?Mamilioni ya watanzania wanampenda na kumuunga mkono Mh Rais kutokana na uchapa kazi wake ulioleta nuru kwa mamilioni ya watanzania waliokuwa wanaona giza mbele yao.
hovyo sana uwezi amini hata kupitisha ufagio pale ufipa ni kazi kwao ndio wakabidhiwe nchi kweliWananchi tumeshawajua hao,makajanja,ni maneno mengi tu.Hata kuanzisha shamba la mfano,na kuwasaidia wananchi kujikomboa kimaisha hawawezi.
Hao mamillion wako wapi! Huku kijijini kwetu hata daraja ya kuvukia mto hamna watu wanatumbukia kwenye maji kuvuka na mvua zikinyesha ndio balaa. Mvua hizi za Elnonyo zimeua watu wa 4 na hakuna hata msemo wala msaada wa serikali yenyewe kwani haiwafukii wa huku vijijini. Hawamjui hata Rais ni nani!!Mamilioni ya watanzania wanampenda na kumuunga mkono Mh Rais kutokana na uchapa kazi wake ulioleta nuru kwa mamilioni ya watanzania waliokuwa wanaona giza mbele yao.
Mambo mawili tu ndio yanayofanya hamchukie kwanza hakumpa uteuzi lakini pili karudisha wezi wote serikalini najua moja utanikubaria na la pili utanipinga na sio yeye tu dr slaa ndio anaemchukia rais asilimia 90 ya watu wa hali ya chini wanaichukia hio taasisi ya uraisNdugu zangu Watanzania,
Haihitaji akili kubwa sana wala shahada ya chuo kikuu wala kusubiri kuambiwa wala kupewa ufunuo katika kutambua kuwa Dr Slaa Ni mtu ambaye kifua na moyo wake unaonyesha kuwa na chuki kubwa sana na Rais wetu Mh mama Samia Suluhu Hasssan. Ukisikiliza maneno ya Dr Slaa kwa nyakati na vipindi tofauti tofauti wakati huu wa Urais wa Rais Samia unaona wazi kabisa kuwa kaelemewa na hasira,kinyongo na maumivu makubwa ndani ya moyo wake dhidi ya Rais Samia.
Jaribuni ndugu zanguni kufuatilia maneno ,matamshi ,kauli , mazungumzo na hata matendo ya Dr Slaa miaka mitano iliyopita na Dr Slaa wa wakati huu wa Rais samia, ili muelewe hiki nachokiandika hapa kuwa Dr Slaa kuna jambo linamsumbua sana moyoni na akilini mwake.amebeba mzigo wa maumivu ,maumivu yakuona Rais Samia akifanikiwa kwa kiasi kikubwa na kuungwa mkono na mamilioni ya watanzania tofauti pengine na matarajio yake yeye mwenyewe.
Sasa maumivu hayo yameshindikana kutunzika katika moyo na kifua chake na sasa kaamua kutoa sauti yake.sasa anawapangia watu mambo ya kusema,sasa hataki na anaumia sana anapoona watu wakimponge Rais Samia.hataki watu wafanye hivyo maana anaumia.hataki vijana kwa maelfu yao wampongeze Rais samia baada ya kupata ajira baada ya kusota mitaani kwa miaka mingi,hataki wakulima wanaoendelea kuneeemeka na mbolea za Ruzuku pamoja na bei nzuri za mazao wampongeze Rais samia kwa juhudi zake za kuinua kilimo na mkulima.
Hataki wazazi wampongeze Rais samia baada ya kuwatua mzigo wa kulipa ada kama walivyokuwa wanafanya awali,hataki vijana wa vyuo vikuu wampongeze Rais samia baada ya kuwa sasa wote wenye sifa wanapata mikopo bila shida yoyote ile,hataki watumishi wa umma wampongeze Rais samia baada ya kuongezewa mishahara kwa 23% hasa wale wa kima cha chini baada ya kusota wakisubiri kwa miaka mingi,hataki watumishi ambao sasa wamepandishwa madaraja,kulipwa malimbikizo ya madeni na kupewa nyongeza ya mshahara kila mwaka wampongeze Rais samia.
Dr Slaa hataki na anaumia sana anapoona wafanyabiashara wakimpongeza Rais samia kwa kuweka mazingira mazuri ya biashara na uwekezaji,Dr Slaa hataki kuona Rais Samia akipongezwa kwa kuiheshimisha nchi yetu kimataifa mpaka sasa tumerudishwa kwenye mpango wa millenium challenge huku miradi ya maendeleo ikiendelea kutekelezwa kila kona ya nchi yetu.
Sasa kwanini Dr Slaa hataki tumpongeze Rais wetu? Kwanini anaumia sana? Mbona awali alikuwa mtoa sifa na pongezi mzuri sana na alituasa hata watanzania kupongeza juhudi na kazi kubwa sana iliyokuwa ikifanywa na serikali ya awamu ya tano? Kwanini leo iwe kama kosa au jinai kumpongeza Rais samia kwa kazi kubwa na uchapa kazi wake uliotukuka ulioliletea maendeleo makubwa Taifa letu ndani ya muda mfupi?
Anataka nini Dr slaa? Kwani yeye anatakaje? Anataka tuseme nini pale Rais wetu anapofanya vizuri?
Napenda kusema na kumwambia Dr Slaa kuwa Rais Samia ni mpango wa Mungu Mwenyewe,hakuinuliwa kwa mkono wa mwanadamu bali na mkono wa Mungu Mwenyewe,hivyo hawezi kushushwa na mikono wala maneno ya mwanadamu mwenye chuki zake binafsi. Atapambana sana lakini hataweza kumshusha mama yetu.ukiinuliwa na Mungu mwanadamu hawezi kukushusha.ukipewa kibali na Mungu mwanadamu hawezi kukuzuia kupita na kukubalika mahali popote pale.Mungu yupo upande wa Rais Samia na Anaendelea kumpatia njia na maarifa ya kuongoza Taifa letu.
Uzuri wa Rais wetu yeye hakatishwi tamaa wala kunyong'onyeshwa na maneno au chuki ya mwanadamu .siku zote yeye hutizama mbele kwa matumaini na ujasiri wa hali ya juu katika kuyakabili matatizo na Changamoto mbalimbali ili kuwatua mizigo Watanzania.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel mwashambwa Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742- 676627.
Wala ujakosea uchapa kazi wake tunauona maji hayapatikani umeme umekua ishu tozo kila kukicha polisi kubambikia watu kesy kunaongezeka kupanda kwa nauli kupanda kwa gharama ya vitu muhimu kwa bina adam ni kweli ujakosea uchapakazi wake tunauonaMamilioni ya watanzania wanampenda na kumuunga mkono Mh Rais kutokana na uchapa kazi wake ulioleta nuru kwa mamilioni ya watanzania waliokuwa wanaona giza mbele yao.
CHADEMA ipi? Kwani CHADEMA bado ipo? CHADEMA hii hii inayotafuna pesa za michango? Kawaulize pesa za join the chain zipo wapi?Mbona wewe unachuki na chadema ?
Ova
Nani kabambikiwa kesi? Nauli zimepanda kutokana na kupanda kwa gharama za uendeshaji.kenya kwa majirani zetu wenyewe zilikuwa zimepanda tangia muda.Wala ujakosea uchapa kazi wake tunauona maji hayapatikani umeme umekua ishu tozo kila kukicha polisi kubambikia watu kesy kunaongezeka kupanda kwa nauli kupanda kwa gharama ya vitu muhimu kwa bina adam ni kweli ujakosea uchapakazi wake tunauona
🆒👍👌👏🙏💐🎁🎖️🏆👑Mkuu Luka, Lucas mwashambwa , siungi mkono hoja!, kwa sisi tunaomfahamu Dr. Wilbroad Slaa tangu akiwa Padri na Katibu Mkuu wa TEC, this is a person of impeccable integrity, jifunze kutofautisha hoja za mtu na kuzitengaanisha na personalities, Dr. Slaa anakosoa kwa hoja za msingi kabisa na sio hoja za chuki dhidi ya mtu yoyote!.
Nakuaminia sana mdogo wangu katika kujenga hoja, nakushauri usianze kuleta hoja za siasa za zengwe na maji taka, kwa hoja za uchimvi, uongo, fitna na majungu!.
Mfano ule Waraka wa TEC kuipinga DPW na Bandari zetu, ukisema Maaskofu Katoliki Tanzania wanachuki na Rais Samia kwasababu 1. Ni Rais Mwanamke 2. NI Rais Muislamu, 3. Ni Rais kutoka nchi nyingine ya Zanzibar 4. Asili yake sio Mtanzania halisi, ana asili ya Waarabu wa Oman!, 5. Mambo ya Intel na IQ ya Samia... utakuwa umewatendea haki TEC?. Kwenye hoja za TEC wana hoja zozote zinazoengemea hoja hizo?.
Ukiusikiliza ukosoaji wa Dr. Wilbroad Slaa, kuna kitu chochote personal amewahi kukizungumza against Rais Samia, mfano hoja hizo?,
Nakushauri usiende personal, tuendelee kukata hoja, endelea kusifu, kumfagilia na kumpigia mapambio ya Kutosha Rais Samia ila usivuke mipaka ukajikuta ni kama unamuabudu fulani na kumtukuza, ukamponza bure!. Wa kuabudiwa, kutukuzwa na kusujudiwa ni Mungu pekee!
P
Slaa anakosoa Kwa hoja ,wewe hujui kuwa SGR ina suasua,huoni umeme ni msiba wa taifa,vipi bwawa la Mwl.Nyerere,Ile tozo tulizoongezewa ya miamala,wakisikia katiba mpya mavi inagonga nini ,kuhusu muungano je wahitimu vyuo vikuu huko Zenji Wanakosa ajira kama wa huku Bara,Wala ujakosea uchapa kazi wake tunauona maji hayapatikani umeme umekua ishu tozo kila kukicha polisi kubambikia watu kesy kunaongezeka kupanda kwa nauli kupanda kwa gharama ya vitu muhimu kwa bina adam ni kweli ujakosea uchapakazi wake tunauona
Mamilioni ya Wananchi Watanzania ambao wengi ni wakulima wanampenda na kumkubali sana Rais Samia kwa kuwa amegusa maisha yao moja kwa moja.ametoa Ruzuku za pembejeo hasa mbolea na kuweka mazingira mazuri ya upatikanaji wa soko la uhakika kwa mazao ya mkulimaMambo mawili tu ndio yanayofanya hamchukie kwanza hakumpa uteuzi lakini pili karudisha wezi wote serikalini najua moja utanikubaria na la pili utanipinga na sio yeye tu dr slaa ndio anaemchukia rais asilimia 90 ya watu wa hali ya chini wanaichukia hio taasisi ya urais
NinayeLucas mwashambwa , wewe Huwa huna mama?
Bwawa la mwalimu Nyerere lipo katika hatua za mwisho kabisa kukamilika na pia mapema mwakani mtambo wa kwanza utawashwa na kuzalisha megawati ambazo zitaunganishwa katika grid ya Taifa. Suala la ajira nikiwa ajira zinatolewa kwa haki kabisa,kinachoangaliwa ni sifa za mhusika na siyo ubaguzi wa aina yoyote ile.suala la tozo ni kuwa hakuna nchi ambayo imejengwa kwa kutegemea misaada ya kutoka nje,lazima tujenge nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe.ndio maana kupitia tozo tulifanikiwa kupewa elimu bure mpaka kidato cha sita.ruzuku ya billion mia moja hamsini katika mbolea,ujenzi wa vituo vya afya,ujenzi wa vyumba vya madarasa zaidi ya elfu ishirini,n.kSlaa anakosoa Kwa hoja ,wewe hujui kuwa SGR ina suasua,huoni umeme ni msiba wa taifa,vipi bwawa la Mwl.Nyerere,Ile tozo tulizoongezewa ya miamala,wakisikia katiba mpya mavi inagonga nini ,kuhusu muungano je wahitimu vyuo vikuu huko Zenji Wanakosa ajira kama wa huku Bara,
Sisi hatumjui huyo Samia, tunakijua chama chake kilichotutapeli muda wote. Ww ndio unamjua Samia maana amekuambia pesa za umma ni zake.Rais Samia aulizwe yale aliyoanza kutekeleza na kuwaahidi watanzania.asibebeshwe mzigo wa yale ambayo hayakuwa katika uwezo wake au majukumu yake au nafasi yake.
Leo umetema madini mzee wanguMkuu Luka, Lucas mwashambwa , siungi mkono hoja!, kwa sisi tunaomfahamu Dr. Wilbroad Slaa tangu akiwa Padri na Katibu Mkuu wa TEC, this is a person of impeccable integrity, jifunze kutofautisha hoja za mtu na kuzitengaanisha na personalities, Dr. Slaa anakosoa kwa hoja za msingi kabisa na sio hoja za chuki dhidi ya mtu yoyote!.
Nakuaminia sana mdogo wangu katika kujenga hoja, nakushauri usianze kuleta hoja za siasa za zengwe na maji taka, kwa hoja za uchimvi, uongo, fitna na majungu!.
Mfano ule Waraka wa TEC kuipinga DPW na Bandari zetu, ukisema Maaskofu Katoliki Tanzania wanachuki na Rais Samia kwasababu 1. Ni Rais Mwanamke 2. NI Rais Muislamu, 3. Ni Rais kutoka nchi nyingine ya Zanzibar 4. Asili yake sio Mtanzania halisi, ana asili ya Waarabu wa Oman!, 5. Mambo ya Intel na IQ ya Samia... utakuwa umewatendea haki TEC?. Kwenye hoja za TEC wana hoja zozote zinazoengemea hoja hizo?.
Ukiusikiliza ukosoaji wa Dr. Wilbroad Slaa, kuna kitu chochote personal amewahi kukizungumza against Rais Samia, mfano hoja hizo?,
Nakushauri usiende personal, tuendelee kukata hoja, endelea kusifu, kumfagilia na kumpigia mapambio ya Kutosha Rais Samia ila usivuke mipaka ukajikuta ni kama unamuabudu fulani na kumtukuza, ukamponza bure!. Wa kuabudiwa, kutukuzwa na kusujudiwa ni Mungu pekee!
P
Ndugu zangu Watanzania,
Haihitaji akili kubwa sana wala shahada ya chuo kikuu wala kusubiri kuambiwa wala kupewa ufunuo katika kutambua kuwa Dr Slaa Ni mtu ambaye kifua na moyo wake unaonyesha kuwa na chuki kubwa sana na Rais wetu Mh mama Samia Suluhu Hasssan. Ukisikiliza maneno ya Dr Slaa kwa nyakati na vipindi tofauti tofauti wakati huu wa Urais wa Rais Samia unaona wazi kabisa kuwa kaelemewa na hasira,kinyongo na maumivu makubwa ndani ya moyo wake dhidi ya Rais Samia.
Jaribuni ndugu zanguni kufuatilia maneno ,matamshi ,kauli , mazungumzo na hata matendo ya Dr Slaa miaka mitano iliyopita na Dr Slaa wa wakati huu wa Rais samia, ili muelewe hiki nachokiandika hapa kuwa Dr Slaa kuna jambo linamsumbua sana moyoni na akilini mwake.amebeba mzigo wa maumivu ,maumivu yakuona Rais Samia akifanikiwa kwa kiasi kikubwa na kuungwa mkono na mamilioni ya watanzania tofauti pengine na matarajio yake yeye mwenyewe.
Sasa maumivu hayo yameshindikana kutunzika katika moyo na kifua chake na sasa kaamua kutoa sauti yake.sasa anawapangia watu mambo ya kusema,sasa hataki na anaumia sana anapoona watu wakimponge Rais Samia.hataki watu wafanye hivyo maana anaumia.hataki vijana kwa maelfu yao wampongeze Rais samia baada ya kupata ajira baada ya kusota mitaani kwa miaka mingi,hataki wakulima wanaoendelea kuneeemeka na mbolea za Ruzuku pamoja na bei nzuri za mazao wampongeze Rais samia kwa juhudi zake za kuinua kilimo na mkulima.
Hataki wazazi wampongeze Rais samia baada ya kuwatua mzigo wa kulipa ada kama walivyokuwa wanafanya awali,hataki vijana wa vyuo vikuu wampongeze Rais samia baada ya kuwa sasa wote wenye sifa wanapata mikopo bila shida yoyote ile,hataki watumishi wa umma wampongeze Rais samia baada ya kuongezewa mishahara kwa 23% hasa wale wa kima cha chini baada ya kusota wakisubiri kwa miaka mingi,hataki watumishi ambao sasa wamepandishwa madaraja,kulipwa malimbikizo ya madeni na kupewa nyongeza ya mshahara kila mwaka wampongeze Rais samia.
Dr Slaa hataki na anaumia sana anapoona wafanyabiashara wakimpongeza Rais samia kwa kuweka mazingira mazuri ya biashara na uwekezaji,Dr Slaa hataki kuona Rais Samia akipongezwa kwa kuiheshimisha nchi yetu kimataifa mpaka sasa tumerudishwa kwenye mpango wa millenium challenge huku miradi ya maendeleo ikiendelea kutekelezwa kila kona ya nchi yetu.
Sasa kwanini Dr Slaa hataki tumpongeze Rais wetu? Kwanini anaumia sana? Mbona awali alikuwa mtoa sifa na pongezi mzuri sana na alituasa hata watanzania kupongeza juhudi na kazi kubwa sana iliyokuwa ikifanywa na serikali ya awamu ya tano? Kwanini leo iwe kama kosa au jinai kumpongeza Rais samia kwa kazi kubwa na uchapa kazi wake uliotukuka ulioliletea maendeleo makubwa Taifa letu ndani ya muda mfupi?
Anataka nini Dr slaa? Kwani yeye anatakaje? Anataka tuseme nini pale Rais wetu anapofanya vizuri?
Napenda kusema na kumwambia Dr Slaa kuwa Rais Samia ni mpango wa Mungu Mwenyewe,hakuinuliwa kwa mkono wa mwanadamu bali na mkono wa Mungu Mwenyewe,hivyo hawezi kushushwa na mikono wala maneno ya mwanadamu mwenye chuki zake binafsi. Atapambana sana lakini hataweza kumshusha mama yetu.ukiinuliwa na Mungu mwanadamu hawezi kukushusha.ukipewa kibali na Mungu mwanadamu hawezi kukuzuia kupita na kukubalika mahali popote pale.Mungu yupo upande wa Rais Samia na Anaendelea kumpatia njia na maarifa ya kuongoza Taifa letu.
Uzuri wa Rais wetu yeye hakatishwi tamaa wala kunyong'onyeshwa na maneno au chuki ya mwanadamu .siku zote yeye hutizama mbele kwa matumaini na ujasiri wa hali ya juu katika kuyakabili matatizo na Changamoto mbalimbali ili kuwatua mizigo Watanzania.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel mwashambwa Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742- 676627.
Kwasababu kauza Bandari kwa 🇦🇪.Ndugu zangu Watanzania,

Bandari ipi iliyouzwa?Kwasababu kauza Bandari kwa 🇦🇪.