Wala hapendwi hata kidogo. Watu hawana pa kusemea. Nimekaa na Wacuba huko Japan wanasema ukweli, unaona wana shida ila wasemee wapi! Fyokofyoka, cha mtema kuni etc. Wote walikuwa wanatafuta nafasi za kutorudi. Actualy wasichana walipata wavulana wakaoana haraka haraka wakabaki. Unamuuliza Cuba si kuna raha zote , anasema "Nyumba ya Jirani............"Kama kuna dikteta anayependwa na kusifiwa basi ni Fidel Castro, Madikteta wote Duniani huchukiwa na kukejeliwa kuanzia Hitler, Stalin mpaka Kim wa Korea Kaskazini lkn siyo Castro, leo hii anasherehekea siku yake ya kuzaliwa miaka 90, Dunia nzima wanamuandika positive tena Wazungu wenzake hawamuiti Dikteta bali wanamuita Revolutionary leader au Mwanamapinduzi sasa unajua ni kwa nini Castro anapendwa na kusifiwa na Wazungu?
Ni kwa sababu Fidel Castro ni Myahudi na kwa kuwa Dunia imeshikwa na Wayahudi kuanzia media, Mabenki mpaka Wanasiasa basi ni mwiko kumsema vibaya Myahudi!
Mtoa mada anasema kwanini Madikteta wote wanachukiwa ispokuwa Fidel castro?Hata sijakuelewa kabisa.
Kama kuna dikteta anayependwa na kusifiwa basi ni Fidel Castro, Madikteta wote Duniani huchukiwa na kukejeliwa kuanzia Hitler, Stalin mpaka Kim wa Korea Kaskazini lkn siyo Castro, leo hii anasherehekea siku yake ya kuzaliwa miaka 90, Dunia nzima wanamuandika positive tena Wazungu wenzake hawamuiti Dikteta bali wanamuita Revolutionary leader au Mwanamapinduzi sasa unajua ni kwa nini Castro anapendwa na kusifiwa na Wazungu?
Ni kwa sababu Fidel Castro ni Myahudi na kwa kuwa Dunia imeshikwa na Wayahudi kuanzia media, Mabenki mpaka Wanasiasa basi ni mwiko kumsema vibaya Myahudi!
Castro anatetewa na historia yake nchini mwao. Aliwatoa mbali sana hasa kwa kuuondosha utawala kandamizi wa Dikteta Fulgencio Batista mwaka 1959, mwezi Januari. Jinsi alivyoingia madarakani ndio kinachompa haki ya kihistoria nchini Cuba. Maandamano ya Santiago De Cuba 1957 na shambulio lililoshindwa dhidi ya kituo cha kijeshi cha Moncada baada ya hapo vilimpa umaarufu. Hotuba yake mahakamani "La Historia Mel Absolvera" yaani "Historia Itanitetea" baada ya kukamatwa vilimpa nafasi katika historia ya Cuba, japo alifungwa kwa makosa ya uasi katika kisiwa cha mananasi "Isle of Pines". Maandamano ya wananchi yalimtoa kifungoni na kuhamishiwa Mexico ambako toka huko alirudi kuikomboa Cuba. Alifuta ujinga ndani ya miaka miwili na Cuba ikawa nchi ya kwanza kufuta ujinga duniani. Alichoma mashamba yote ya sukari ya Kikabaila na kuyapanda upya na Cuba ikarejea wakati huo kuwa nchi inayozalisha wa wingi sukari duniani kwa mashamba ya kijamaa. Aliushinda uvamizi wa Rasi ya Nguruwe ama "Bay of the Pigs" ulioongozwa na Marekani wa mwaka 1961. Ameyashinda majaribio ya CIA karibu ya mia moja ya kumwua na mengine mengi. Mambo hayo huwafanya watu wampende kiongozi wao. Kinachoendelea Cuba ni jitihada zake za kukabiliana na vikwazo vya kiuchumi ilivyowekewa. Daima vikwazo ni kuwafanya wananchi wamchukie kiongozi wao na iwe rahisi kumpindua - chuki pandikizi sio ile inayoanzia ndani. Yeye alishinda kile ambacho mabeberu walifaulu kwa Allende, Saddam, na Gadhafi. Vikwazo vya kiuchumi vinapandikiza chuki dhidi ya mtawala kwani sukari hakuna, vifaa hakuna, madawa hakuna na chakula hakuna. Hiyo sio chuki asilia unayoweza kuisemea na kuipangia hoja nzito kama hii. Makosa ya watu kama Castro ni kukaa madarakani muda mrefu mpaka watu wanakuchoka na unaanza kupoteza mwelekeo.Anapendwa kwa sababu ni dikteta na anatetea haki za wananchi wake.
Mkuu una mawazo ya kupandikizwa!Kama kuna dikteta anayependwa na kusifiwa basi ni Fidel Castro, Madikteta wote Duniani huchukiwa na kukejeliwa kuanzia Hitler, Stalin mpaka Kim wa Korea Kaskazini lkn siyo Castro, leo hii anasherehekea siku yake ya kuzaliwa miaka 90, Dunia nzima wanamuandika positive tena Wazungu wenzake hawamuiti Dikteta bali wanamuita Revolutionary leader au Mwanamapinduzi sasa unajua ni kwa nini Castro anapendwa na kusifiwa na Wazungu?
Ni kwa sababu Fidel Castro ni Myahudi na kwa kuwa Dunia imeshikwa na Wayahudi kuanzia media, Mabenki mpaka Wanasiasa basi ni mwiko kumsema vibaya Myahudi!