SMU
JF-Expert Member
- Feb 14, 2008
- 9,613
- 7,901
Wakati nikiwa kijana mdogo nilikuwa siwezi kuelewa ni kwa nini watu wazima , pamoja naa kuwa na wake wazuri, wanachepuka tena mara nyingi na wawake ambao si wazuri kwa sura kushinda wake zao.
Diamond, pamoja na ubora wake, watu wameshamzoea. Ni ngumu kwake kufanya kitu kipya kinachoweza kuwavutia mashabiki wake na wasio mashabiki wake. Hakuna marefu yasio na.......!
Diamond, pamoja na ubora wake, watu wameshamzoea. Ni ngumu kwake kufanya kitu kipya kinachoweza kuwavutia mashabiki wake na wasio mashabiki wake. Hakuna marefu yasio na.......!