Kwanini developers wengi Tanzania wanapenda kutumia PHP?

Nimeona hata kwenye mitihani ya programming ya recruitment secretariat, maswali ya php ni mengi, kuliko maswali ya programming languages zingine... Ikifuatiwa na java
PHP ndio lugha pendwa alafu ukiweza kuimaster ni tamu sana, Java pia ni tamu sababu PHP & Java OOP inahusika language nyingine ambayo ni tamu ni C#, ukiacha Python ambayo ni lugha rahisi maana Python ni km unaandika kingereza tu sio kwamba ni codes ngumu kiivyo
 
Ni rahisi zaidi
 
Cheap
 
Po



Hiyo POS ni nn kwani mkuuu sijaelewa bado

Na naomba unipe tofauti yake na C au C++
POS

Point of Sale Systems for Retail, Restaurants, Bar & Salons

C haina tofauti na C++ yaan ni the same utofauti ni kwamba C++ is a superset of C najua umesoma hesabu
 
POS

Point of Sale Systems for Retail, Restaurants, Bar & Salons

C haina tofauti na C++ yaan ni the same utofauti ni kwamba C++ is a superset of C najua umesoma hesabu
Ok hapo sawa kwaiyo c# ni tofauti kabisa na c++ sio
 
Ila hata c++ napiga sana tu na python nipo nipo

Ila kwenye web design mi ni kinda bado stow away
 

Attachments

  • IMG-20230327-WA0017.jpeg
    194.2 KB · Views: 17
Ndo naanza hapa html mkuu nimetengeneza tu heading 😂😂😂 na first page ☺️☺️ daaah nipo kindergarten kwenye haya mambo
Haya sawa mkuu mwanzo mgumu Ila mwisho utaelewa tu sio kazi kubwa sana kikubwa upende unachofanya,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…