Kwanini Dar kuna vibanda vya chips kila mtaa?

Ushahidi wa research au ndiyo mastory ya Prof Maji Marefu
 
uwongo mtakatifu,mna afya nyie??goli moja mnaomba maji ya kunywa??ndo maana hili nijiji la kwanza kwa wanawake kuchepuka.mf wema,lulu,shilole,sinura ambao ndo wake zenu.karibu mwanjelwa mbeya uone shughuli pevu
 
Poleni wana Dar es Salaam, wala chips wakuu katika ulimwengu huu
Nimeishi Mbeya na Dar. Licha ya kwamba viazi mviringo vinalimwa kwa wingi Kanda ya Nyanda za Juu Kusini (ikiwemo Mbeya), watu wa huko Mbeya hawajui kuifanya chipsi (french fries) iwe na ladha ya kuvutia, na sishangai huyu jamaa anavyoshangaa vibanda vingi vya chips Dar kwani yeye kwao amezoea kupikiwa hovyo hovyo na anaona chipsi ni kitu cha kawaida tu. Naamini kama angeonja chipsi za Dar, hakika siku ya kurudi angezipakia kwenye shangazi kaja yake akawaonjeshe akina malafyale.
Hata nilipoenda Arusha, nilikuta mishikaki na supu ya kule haina mvuto kama ya Dar. Ukweli ni kwamba Dar ni jiji Kuu na watu wake ni wabunifu kwenye kila nyanja
 
Wewe umeshangaa wingi wa vibanda, mimi nilishangaa mazingira ya uchafu wa vibanda hivyo, vumbi, inzi na uchafu wa waandaji chips wenyewe.
 
Kwanza angejiuliza kwanini dada zake wakija hawataki kurudi kwao
 
Kwanza angejiuliza kwanini dada zake wakija hawataki kurudi kwao
Hahaha apo ungejiuliza kwanza wewe kwa nini wake zenu,dada wikiend wanatoroka mkoani kuja dar kusalimia kidogo na kurudi?? Nakumbuka kuna dada mmoja ivi kwy dala2 juzi alipigiwa simu tukiwa mitaa ya kinondoni akamdanganya mumewe eti nipo apa mwanjelwa sokoni,kumbe yupo kino anapelekwa machinjioni!
 
[emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
Wewe umeshangaa wingi wa vibanda, mimi nilishangaa mazingira ya uchafu wa vibanda hivyo, vumbi, inzi na uchafu wa waandaji chips wenyewe.
Ukushangazwa na uchafu wa mafuta yanayotumika kukaanga hizo chips?
 
Ukushangazwa na uchafu wa mafuta yanayotumika kukaanga hizo chips?
Mishikaki iliyozingirwa na inzi maandalizi yake nilishangazwa ila nilishangazwa zaidi na watumiaji/wateja wenyewe kwa kutojali.
 
wanaume wa dar tunapenda sana chips sababu ndo chakula ambacho kinapatikana kirahisi
Kwa jinsia yoyote; WAKATI WA KAZI NA NI CHAKULA AMBACHO KINA USALAMA ZAIDI, na haraka hata kubebeka. Chakula hiki kimekuwa maarufu sana pale pirika za kiuchumi zilipoongezeka. Na hii ni sifa ya majiji yote duniani yaani uwepo wa fast food kila kona
 
Mostly chakula hiki huliwa na wazinifu, hasa maeneo ya huku kwetu uswazi....
 
Umenielewa kweli au ndo walewale?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…