kawaida mke na mume wanaweza kushambuliana wakiwa ndani ya nyumba yao - lakini wakitoka nje lao linakuwa moja, wanafuta tofauti zao na wanaelekeza mashambulia yao kwako. Kuwa makini sana mnapo deal na wanandoa.
nina wasiwasi na cuf mana walianza kampeni na punda na wanamalizia na helcopta. nadhani kwa hali yao ya uchumi waliyoionyesha wakizindua kampeni ni ishara kuwa hilo chopa wamefadhiliwa na chama cha rostam azizi
Wanajamvi naomba tujadili yafuatayo;
1.Kwa nini chama cha CUF ambacho ni cha upinzani huku Tanganyika kimekua kikiiandama Chadema?. Sijawahi kusikia Chadema wakikiandama CUF,Je ni ukomavu wa kisiasa wa Chadema kujua kuwa wanapambana na aliye madarakani tu? au ni kwamba mti utoao matunda ndio unaorushiwa mawe? au ni uchu wa Hamad Rashid wa madaraka ya Kambi ya Upinzani bungeni?
2.Kwa nini CCM na BAKWATA wamekua wakiyataka mashirika ya kijamii kulaani issue ya DC Kimario kule Igunga,hadi leo hii hakuna hata shirika moja lililolaani? Je mashirika hayo yanashabikia Chadema? au wamejaribu kuwa analytical zaidi kujua kuwa ile ni political ground? Kumbuka kuna kina Ananilea Nnkya na wenzake ambao hua wako active na haki za kina mama,je hawajaliona hilo au wameelewa kuwa ni mbinu za CCM kujitafutia mtaji wa kisiasa?
3.Kwa mwendo huu,Tanzania tutaepuka mtego wa kuingia kwenye uhasama wa kidini (Kumbukeni ishu ya DC)? Je hii sio style ya CCM ya divide and rule?
Ni hayo tu
Kiashiria au sifa kuu ya mtu ambae ni mvivu wa kufikiri ni
1. kutumia njia rahisi kuliko zote kupambana na matatizo yanayomkabili
2. uchochezi na umbeya ila kuharibu hali ya amani iliyopo
3. kufikiri watu wote wana akili zilizolala na finyu kama zao
Sasa basi hao sijui wanaoitwa KAFU na Magamba wanaona kutumia udini ndio njia rahisi ya kuwaogopesha na kuwagawa watanzania! ila wanashindwa kufikiri kwamba watanzania hatutagawanyishwa kwa udini kwame coz nyumba moja tumepanga waislam na wakristu, wanakula pork tunanyamaza na kuvumiliana coz it is their business not ours. Kitakachokuja kutugawa watanzania ni mali wala sio dini. WENYE NACHO NA WASIO NACHO.
WANACHOSINDWA KUELEWA NI KWAMBA
1. HAKUNA MAKANISA AU MISIKITI YA MATAJIRI NA MASIKINI ILA KUNA MAENEO YA MATAJIRI NA MASIKINI
2. UWIANO WA WALICHONACHO NA WASIONACHO UNAKUWA KWA KASI, HII ITASABABISHA WASIOKUA NACHO KUSUKUWA KWENYE MAENEO MUHIMU NA KUTUBWA KUSIKOKUA NA MIUNDOMBINU YA KUISHI BINADAMU. HAPO NDIPO WATAJUA KWAMBA DINI HAIGAWI WATZ ILA UKOSEFU WA MALI NDIO ADUI MKUBWA NA BOMU WANALOLITENGENEZA HAPA TZ
ANGALIA MISRI WAISLAM NA WAKRISTU WALIUNGANA KUMNG'OA DICTATOR HUSSEIN, WALA HAWAKUSUKUMWA NA DINI ZAO

CUF hawana lolote,ni kama CCM tu.Wote wanaiga nini CDM wanafanya