Gracious
JF-Expert Member
- Jul 12, 2011
- 1,890
- 1,082
Wanajamvi naomba tujadili yafuatayo;
1.Kwa nini chama cha CUF ambacho ni cha upinzani huku Tanganyika kimekua kikiiandama Chadema?. Sijawahi kusikia Chadema wakikiandama CUF,Je ni ukomavu wa kisiasa wa Chadema kujua kuwa wanapambana na aliye madarakani tu? au ni kwamba mti utoao matunda ndio unaorushiwa mawe? au ni uchu wa Hamad Rashid wa madaraka ya Kambi ya Upinzani bungeni?
2.Kwa nini CCM na BAKWATA wamekua wakiyataka mashirika ya kijamii kulaani issue ya DC Kimario kule Igunga,hadi leo hii hakuna hata shirika moja lililolaani? Je mashirika hayo yanashabikia Chadema? au wamejaribu kuwa analytical zaidi kujua kuwa ile ni political ground? Kumbuka kuna kina Ananilea Nnkya na wenzake ambao hua wako active na haki za kina mama,je hawajaliona hilo au wameelewa kuwa ni mbinu za CCM kujitafutia mtaji wa kisiasa?
3.Kwa mwendo huu,Tanzania tutaepuka mtego wa kuingia kwenye uhasama wa kidini (Kumbukeni ishu ya DC)? Je hii sio style ya CCM ya divide and rule?
Ni hayo tu