Kwanini CUF kina Wabunge wawili tu huku Tanzania bara?

Nicholas mbona mapovu yanakutoka? Mimi sio CCM na sijawahi kuwa n kadi ya chama chochote. Tatizo lenu CHADEMA baada ya majikuwa ya shingo mnataka kugeuza kibao.Mnataka kutudanganya kuwa kila mtanzania lazima awe na kadi ya CCM, CHADEMA, C.U.F au NCCR. Ukweli ni kuwa tupo kundi kubwa sana la ambao tumechoka na Siasa za kihuni za CHADEMA na vile vile hatuipendi CCM kwa sababu ya kunuka rushwa. Kuchukua urais kwa upinzani hata akisimama padre Slaa kwa katiba hii ni ndoto.Ndio maana tunataka kwanza tuone wabunge wengi wa upinzani halafu mengine yatafuata polepole.
Mbona huna hoja zaidi ya matusi...umepiga hesabu walioichoka ccm ni wangapi halafu ukatoa wa CDM kkisha ukajua nani kachokwa zaidi?Pengine ungeanzia hapo uache uharo.
 
Tupo watanzania wengi sana waliochoka na Siasa zenu mavi,hatuna kadi ya chama chochote ila tunachukia rushwa na tunapenda maendeleo.Tunashangazwa sana michezo yenu ya kipumb.a.vu.Mnatutia shaka kama kweli mnataka kumkomboa mnyonge.Wabaguzi, mnawabeza cuf wana mmbunge mmoja bara, tena mbunge mwenyewe albino.Alipata kura kwa kuonewa huruma.Hamtafika mbali sababu hakuna nchi yoyote duniani iliyokaa madarakani kwa kura za wanachama.
 
Haha umeangalia ITV sasa hivi?Masako anarusha issue..
 
Back
Top Bottom