mshikachuma
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 2,853
- 626
Huna habari lilikuwa moja ya masharti ya CUF ili kuisaidia CCM kwenye uchaguzi mkuu angalau iwe na wabunge bara.Kama kweli CUF ni chama makini,kwanini kina mbunge wa kuchaguliwa mmoja tu huku bara?
Tena mbunge mwenyewe ni albino aliyepata kura kwa huruma ya wakazi wa Lindi mjini. Swali langu ni -
Kama CUF wanajisifia kwa kufanya vizuri kwenye midaharo mbona hawana wabunge wa kuchaguliwa huku bara
zaidi ya huyu mmoja aliyepata ubunge kwa huruma ya wananchi wa Lindi mjini?
Kama kweli CUF ni chama makini,kwanini kina mbunge wa kuchaguliwa mmoja tu huku bara?

Kwanini CCM haina mbunge Pemba? kwanza Zanzibar ni nchi ya kiislamu hakuna haja.Labda niseme hivi kuwasaidia
Afadhali CUF wana wabunge wawili wa kuchaguliwa Tanzania bara na wabunge wengi Zanzbar wameonyesha ni Wa Tanzania..
Je kwanini chadema hawana mbunge wa kuchaguliwa hata moja Zanzibar (0)??
Hapo kwenye Red, mie sijatamka hayo maneno' wewe ndiye wasema.Hii thread ya kibaguzi imepenyaje jukwaa la siasa? Unamdhalilisha ndugu yetu mwenye ulemavu wa ngozi.
Kingine sio kweli CUF ina mbunge moja tu, navyojua mimi CUF ina wabunge wawili
Kwanini CCM haina mbunge Pemba? kwanza Zanzibar ni nchi ya kiislamu hakuna haja.

Sisi hatubembelezi mataahira yanayotumiwa.Afadhali umesema ukweli...
Kwa hiyo nyinyi hamuhitaji wa waislamu kwenye chama chenu au siyo? nawasikitia wale makamu wa rais wa slaa na wengine wanaojipendekeza kina zitto, arfi, safari etc..
Sawa ninyi ni watu makini na chama chenu kilikuwa popular kabla ya CDM. Sasa imekuwaje leo mpitwe na CDM?Labda niseme hivi kuwasaidia
Afadhali CUF wana wabunge wawili wa kuchaguliwa Tanzania bara na wabunge wengi Zanzbar wameonyesha ni Wa Tanzania..
Je kwanini chadema hawana mbunge wa kuchaguliwa hata moja Zanzibar (0)??
Mbunge mwenye ni Albino.Kama kweli CUF ni chama makini,kwanini kina mbunge wa kuchaguliwa mmoja tu huku bara?
Tena( "mbunge mwenyewe ni albino aliyepata kura kwa huruma") ya wakazi wa Lindi mjini. Swali langu ni -
Kama CUF wanajisifia kwa kufanya vizuri kwenye midaharo mbona hawana wabunge wa kuchaguliwa huku bara
zaidi ya huyu mmoja aliyepata ubunge kwa huruma ya wananchi wa Lindi mjini?
Anhaaa....mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu? Na wale jamaa waliowaambia waislaam wa Igunga wasichague CDM walikuwa na maanaWewe jamaa kumbe huwa mbaguzi sana! Albino sio mtu? Kumbe CDM ni chama cha Wakiristo wa Tanzania Bara